Kuna wanawake wanajua kubembeleza ndoa jamani, napikiwa kisamvu nazi, wali, maharage na samaki usiku huu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Wakuu,

Ni furaha ilioje jioni hii ya leo nikiwa nimerudi toka mahangaikoni nimechoka vibaya mno, kuna bibie ana siku ya 3 yupo hapa kwangu.

Sitaki kusema ni new project, ila ni msichana fulani hivi hua ananipa utamu mara kwa mara ila sio msichana official.

Toka juzi nala vitu humu ndani hadi navunja sheria ya gym sasa maana nafanya mazoezi ni diet, sasa huyu mdada naona kaja niharibia kabisa manake sio kwa mapishi haya, nikigeuka huku mara chapati, mara wali, maana mi napenda sana wali maharage kachumbali na kipande cha kuku, sasa huyu mwanamke kwakweli, sijawai pata mwanamke anajituma kama huyu.

Ila sasa wala hayupo akilini kwamba ndo aje kua mke, hebu ngoja nijitafakari nimfanye msichana official au vipi manake kwakweli anashughulika na ni kazuri kweli.
 
Wakuu,ni furaha ilioje jion hii ya leo nikiwa nmerud toka mahangaikon choka vbaya mno,kuna bibie ana siku ya 3 yupo hapa kwangu,

Stak sema ni new project,ila ni dem flan hiv hua ananipa utam mara kwa mara ila sio official demu.
Toka juz nala vitu hum ndan had navunja sheria ya gym sasa mana nafanya mazoez n diet.sasa huyu mdada naona kaja niharibia kabsaa manake sio kwa mapish haya,
Nikigeuka huku mara chapat,mara wali,maana mi napenda sana wali maharage kachumbar na kipande cha kuku,sasa huyu mwanamke kwakwel,sjawai pata mwanamke anajituma kama huyu,..

Ila sasa wala hayupo akilin kwamba ndo aje kua mke,..heb ngoja nijitafakar nimfanye official demu au vp manake kwakwel anashugulika,.na ni kazur kwel wakuu

Mpaka hapo atakapoolewa ndio utajua ....... achana na hawa viumbe
 
Hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro!! Mademu wengi wanaojuwa kupika wanasifa ya ukarimu siyo wachoyo vitumbua vyao!!
Wanajua kupika haswaa lakini uaminifu F,
Ukimuweka ndani utatuletea mrejesho.
 
Kweli watu tunatofautina, sijui watu wanapendea nini udi

Udi ka udi tu hata miye siutaki ila ukifukiziwa humo ndani ya hilo liguo, akilivua tu utalipenda. Miye ile harufu ya huyo mtu ndo hunichanganyaga ubongo. Tena ngoja nizime pc kwani nadhani ndo anagonga mlango kwani ndo mida yake
 
Wakuu,ni furaha ilioje jion hii ya leo nikiwa nmerud toka mahangaikon choka vbaya mno,kuna bibie ana siku ya 3 yupo hapa kwangu,

Stak sema ni new project,ila ni dem flan hiv hua ananipa utam mara kwa mara ila sio official demu.
Toka juz nala vitu hum ndan had navunja sheria ya gym sasa mana nafanya mazoez n diet.sasa huyu mdada naona kaja niharibia kabsaa manake sio kwa mapish haya,
Nikigeuka huku mara chapat,mara wali,maana mi napenda sana wali maharage kachumbar na kipande cha kuku,sasa huyu mwanamke kwakwel,sjawai pata mwanamke anajituma kama huyu,..

Ila sasa wala hayupo akilin kwamba ndo aje kua mke,..heb ngoja nijitafakar nimfanye official demu au vp manake kwakwel anashugulika,.na ni kazur kwel wakuu
Ndo wengi walivo uomba sana Mungu awape ndoa wakishaipata plus vyeti na watoto uanza tena juhudi za kuibomoa ndoa,ikishabomoka uanza kujuta tena
 
Udi ka udi tu hata miye siutaki ila ukifukiziwa humo ndani ya hilo liguo, akilivua tu utalipenda. Miye ile harufu ya huyo mtu ndo hunichanganyaga ubongo. Tena ngoja nizime pc kwani nadhani ndo anagonga mlango kwani ndo mida yake
Hahahhaaaaaaaa zitaki kuongeza ila si udi tu kuna kingind tunaongeza aisee inachanganya akili balaa ss wenyew inatuchanganya
 
Halaf ukute anakujilia kavaa ileee nguo nyeusiii na macho mtobozi. Weee! Hakika nakuambia utajisahau kwani akiitoa tu ile mnguo, hivyo harufu ya uudiiii staki kuwaza.
Mkuu,kwa jins nilivyoshiba hapa,nmevimbiwa yaan hata ham ya papuch hamna labda had nipo poe kdogo,..na leo kazin ilikua mshikemshike so nko hoi,sjui hata ntaweza mpiga mashine kisawasawa huyu
 
We chezea tu wana wa wenzio, ipo siku nwanao naye atachakazwa hivo hivo ndio utajua uchungu wa mwana. Oa kijana achana na hit an run
 
Hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro!! Mademu wengi wanaojuwa kupika wanasifa ya ukarimu siyo wachoyo vitumbua vyao!!
Wanajua kupika haswaa lakini uaminifu F,
Ukimuweka ndani utatuletea mrejesho.
Kwamba ataenda toa umbwa nje ama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom