dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,149
Wanawake wengi Utakuta wana matatizo ya kiafya ya mda mrefu na ya kujirudiarudia mfano utakuta mwingine hapatani na vitu vya baridi akitumia tu hata kidogo au akila kitu flan basi moja kwa moja kinampelekea kupata madhara au hata kulazwa.
Wengine hawapatani na vitu vyenye harufu/manukato, Wengine utakuta ana ugojnwa wa kuzimia, Mara vidonda vya tumbo.
Yaan basi huwez kukutana na mwanamke ambaye kiafya yupo stable ukilinganisha na sisi wanaume.
Je hii inatoka na nini au ndo udhaifu wenyewe?