The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 461
- 701
Kama title inavyojieleza wakuu,
Nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda Japo csijui ni kwa kiacsi gani kwasababu kila mtu na moyo wake.
Sasa huwa inafka muda mwanaum huwa nahitaj ku-cheat ili kukidhi mahitaji but kila nkifanya hivyo manzi wangu ananiambia kuwa ameota ndoto kuwa nina mwanamke mwingine na ameniuliza kuhusu hilo na nimekataaa kata kata kwenye ndoto na hata alivokuja kuniambi katika uhalisia nilikataa pia.
Hii inawez kumaanisha nini? Maana mimi nimewaza nimeshindwa kuelewa na sina hakika kama kuna mtu anampa taarifa juu ya kile ninachokifanya.