Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za weend mabibi na mabwana! Hivi kuna wanaume wanaojiuza au kutoa huduma kama wanazotoa wanawake makahaba?? Yani nao wanajipanga kama kawa kuonesha ushindani wa viungo vyao ama inakuaje...
-1 Reactions
56 Replies
4K Views
Ndugu zangu, kuna mambo flani huwa yananichanganya Kuna mtu mmoja tunaishii naye nyumbani (mimi nakaa kwa baba mdogoo bado sjafanikiwa kujitegemea). Mtu huyu ana nafasi kubwa kwa baba yangu mdogo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari yenu wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya. Nisipoteze muda iko hivi Kuna binti mmoja hapa chuoni niko nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa. Ninampenda & analifahamu hilo. Ndo niliepanga...
17 Reactions
227 Replies
23K Views
Vijana wengi wakike na wakiume wanapotafuta mke/mume huandika kuwa wanamtaka mcha Mungu. Hivi ni nani atakuambia kuwa mimi simchi Mungu? Kumcha Mungu (kumwogopa Mungu) ni jambo la ndani ya moyo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna harusi ya dada yake keshokutwa, sasa ameanza kunipanga muda mrefu kwelikweli kwamba niwepo. Sasa dah! Mimi kama baharia huwa nakwepa sana hizi public appearance maana mimi najulikana flani...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Let me tell you a story of how you will meet your Soulmate/ May be you have already met her/him. 1. You will meet him/her at the most inconvenient place and no one between you will even know that...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wadau, Kwa wale wanaume tulio katika ndoa ambazo si changa mtakubaliana nami kwamba wengi wetu tumekuwa tukikumbana na majibu maarufu kama "nimechoka","naumwa","we nawe unataka kila...
4 Reactions
62 Replies
21K Views
Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya. Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Nina rafiki alikuwa ananisimulia jinsi hali yake mahusiano yake anayopitia amepatwa na hofu muda wowote mpenzi wake atavunja mahusiano na hofu hiii inatokana dalili za mabadiliko ya tabia na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mimi nimewahi kuwa mwalimu wa sekondari, shule ya mchanganyiko. Nina uhalisia fulani na mazingira ya shule za kutwa. Kwa kipindi hiki ambacho elimu ya ngono inafundishwa kuanzia shule za msingi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni jambo linalonitatiza aswaa wakuu, kwa kweli sasa nimepata ule Ubavu wangu niliokuwa nautafuta,kwenye hizo siku zangu zote za uchakataji. Nimepata binti mzuri, wife material mwanamke ambae ndio...
1 Reactions
66 Replies
4K Views
Yaaan naandika huu uzi huku niki fikiria hawa viumbe sijui wakoje kwa kweli wanawake hawanifikirii mara mbili mbili midomo yao ndio inawaomgoza. Yaan kuna dem alionesha kuvutiwa na mimi nikasema...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari za Eid pili wandugu Kama kawaida yangu ninapitulia ndipo jambo hunijia kama hivi halafu natafuta pakukitolea. Nimekumbuka tu mbali kidogo miaka hiyo ya ubarubaru. Kipindi ambacho kwa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari waungwana ? Leo nimepata swali kutoka kwa Rafiki yangu kua mke wake simu haikai chini anakuambia kuwa ni marafiki tu hana mpango naye ila anaongea nao sana akiwa mume wake hayupo. Tena...
2 Reactions
65 Replies
10K Views
Nawasalimu wana jf Mu wazima humu. Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina. Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Hii imekaaje!? Mwanamke kabla hajaolewa anatambulika kwa jina la 'Miss X' ambalo ni jina la ukoo wa baba yake. Akishaolewa title inabadilika na kuwa 'Mrs Y' ambalo ni jina la utambulisho la ukoo...
0 Reactions
92 Replies
11K Views
Yaani sio nawadharau ila niukweli. Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao. Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu. Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu...
2 Reactions
123 Replies
12K Views
Kiukwel mim ni mkristu lakin i wish we had thiss..yaan kuwe na ndoa ya wanawake wa4 mwisho..yaan ingekua swaaf kwel yan Niseme kwamba..wanawake wa skuhiz kuzaa watoto zaid ya wa3 ni...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda...
10 Reactions
123 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…