Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta...
2 Reactions
273 Replies
43K Views
Nawapenda kwasababu wamepevuka "mature" Wanaujua uchungu na thamani ya Ndoa Awe na elim yoyote Mimi niko dar,ni mfanyakazi,nina miaka 34 Age is just a number
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Pamoja na kuishi kwangu kwa kungaunga (sina elimu kubwa) nilijinyima shilingi 25,000/= nikanunua simu kutoka kwa mchimbaji mdogo yenye uwezo wa kutumia Facebook. Nikaunganishwa na rafiki yangu...
19 Reactions
555 Replies
69K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza je umeshawahi kupitia wakati mgumu ktk mahusiano yako hadi ikafika hatua wee mwenyewe ikakubidi u salender mie upande wangu. Mimi niliwahi kuwa katika...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu wanajukwaa wasalaam, Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi. Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika.. Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao Kwa bahati...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Basi bwana kwa vile nilikuwa na chat chat naye mtandaoni na kutumiana ma picha ya mahaba kwa muda mrefu basi nikaona itabidi nionane naye mtoto wa kishua, sikubali aiseee, toto rangi ya chungwa...
6 Reactions
35 Replies
7K Views
Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha...
9 Reactions
112 Replies
11K Views
Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani Kuliko kuendelea kuficha simu yako wakati ukiwa na bae wako, kwanini usidate na huyo anaekufanya unaficha simu yako?
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Aisee kuna wadada warembo "pisi kali" ambao hawapendi kabisa hela, kontrare tu popyula bilifu. Mimi binafsi nimeshakutana na wadada kama watatu wanne hivi ambao pamoja na kuwa nao kwenye mahusiano...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Bill Gates And Melinda Gates Divorce: Reason Behind The High-Profile Split That Shook Everyone Bill and Melinda Gates are the second ultra-rich couple to split up in the US. By India.com Lifestyle...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa...
13 Reactions
128 Replies
12K Views
MIMI NI MWANAUME NINA UMRI WA MIAKA 34 NI MFANYA BIASHARA NINATAFUTA SINGLE MAMA TUWE KWENYE RELATIONSHIP THEN TUTAAMUA BAADA YA KUWA PAMOJA. VIGEZO: AWE MKRISTU. ASIWE MWEMBAMBA / MNENE...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
NI STORI NZURI YENYE FUNZO HASA WALE TUNAOCOMMENT KTK MITANDAO YA KIJAMII BILA BUSARA, HEKIMA WALA STAHA. MY STORY: KATOTO KENYEWE KABAYA, NANI ATAKACHANGIA, ANGEKAACHA KAFE TU! Tofauti na...
33 Reactions
48 Replies
5K Views
Alizaliwa miaka 8 baada yangu. Nikiwa mtoto wa 3 kuzaliwa kati ya watoto 5, huyu yeye ndie kitinda mimba cha Mama Fohadi na ndiye kaka wa mwisho wa familia. Japokuwa nina upendo wa dhati kwa ndugu...
23 Reactions
77 Replies
6K Views
Ghafla mpenzi wangu amenichukia na kunikasirikia kutokana kushidwa kumtimizia jambo lake alilokuwa akilitaka kutoka kwangu kushidwa kutimiza imefika hatua hatoi ushirikiano wowote wa kitu chochote...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Hakuna kitu kinachooumaa kama kuachana na mtu uliyempenda sana au mlipendana nae sana. Hakuna kitu kinachoouma kumuona mtu uliyempenda sana akiondoka kwa furaha toka maishani mwako huku...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…