Msaada: Mpenzi wangu ananichukia baada kushindwa kutimiza kitu alichokuwa anakitaka

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,687
2,000
Ghafla mpenzi wangu amenichukia na kunikasirikia kutokana kushidwa kumtimizia jambo lake alilokuwa akilitaka kutoka kwangu kushidwa kutimiza imefika hatua hatoi ushirikiano wowote wa kitu chochote na mimi amebaki kuniangalia tuu.

Ninavyohenyeka wala hajali tena hisia zangu imefika wakati moyo wangu hauna amani tena hivyo naombeni ushauli maana hatupo katika hatua nzuli ya maelewano na mwenzangu.
 
6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
480
1,000
Ghafla mpenzi wangu amenichukia na kunikasirikia kutokana kushidwa kumtimizia jambo Lake alilokuwa akilitaka kutoka kwangu kushidwa kutimiza imefika hatua hatoi ushirikiano wowote wa kitu chochote na Mimi amebaki kuniangalia tuu

Ninavyohenyeka wala hajali tena hisia zangu imefika wakati moyo wangu hauna amani tena hivyo naombeni ushauli maana hatupo katika hatua nzuli ya maelewano na mwenzangu
Kamroge atakupenda

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,056
2,000
Ghafla mpenzi wangu amenichukia na kunikasirikia kutokana kushidwa kumtimizia jambo Lake alilokuwa akilitaka kutoka kwangu kushidwa kutimiza imefika hatua hatoi ushirikiano wowote wa kitu chochote na Mimi amebaki kuniangalia tuu

Ninavyohenyeka wala hajali tena hisia zangu imefika wakati moyo wangu hauna amani tena hivyo naombeni ushauli maana hatupo katika hatua nzuli ya maelewano na mwenzangu
Achana naye tafuta pesa kwanza ukiendelea naye utajikuta watafta ili kumridhisha yeye. Narudia achana naye utapata stress na bado mbeleni atakuacha
 
Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,112
2,000
Ghafla mpenzi wangu amenichukia na kunikasirikia kutokana kushidwa kumtimizia jambo Lake alilokuwa akilitaka kutoka kwangu kushidwa kutimiza imefika hatua hatoi ushirikiano wowote wa kitu chochote na Mimi amebaki kuniangalia tuu

Ninavyohenyeka wala hajali tena hisia zangu imefika wakati moyo wangu hauna amani tena hivyo naombeni ushauli maana hatupo katika hatua nzuli ya maelewano na mwenzangu
Mtumie huu ujumbe

Once you found someone who believes in you when you don’t believe in yourself...

One who can see the good in you when all you can see is bad...

One who will stand with you and for you even when you’re making mistakes...

Appreciate that person and don’t ever let them go.
 
Rcrusso Jr

Member
Jul 26, 2020
81
150
Nami ndivyo nilivyo...stimu hukata kabisa MTU asipotambua shida zangu Ila akatambua zaidi kipapa changu
kitu ambacho wadada wanaringia hiko tu.. hamjiulizagi kuwa kitu gani kingine cha ziada waeza mpatia mtu wako ukiacha hicho kipapa chako... halafu jamaa anae lalamika hapa ameona malengo kwa hiyo kichwa au kisa hiko kipapa ndio kaja bandika bango?? zipo nyimgi mno mtaani atafute hela..akiwa nazo watakuja wengi tu hata asipowapa atakipata anachonyimwa..

mdada akiringia ..... pekee huwa namdharau kupitiliza ,,, na hata awe vipi yani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom