Wapangaji wenzangu wanandoa wanapigana sasa hivi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,561
44,752
Ila jamani sikutegemea kama ningeleta umbea wa namna hii kwenu wakuu ni basi tu kuna vitu nimefikiria vinafurahisha mnisamehe. Iko hivi jamaa ana mke wake ambaye ni mama wa nyumbani wana mtoto mmoja (uzuri hawapo JF hawana hata smartphone so siwezi kushikwa kwa kuwasema humu ndani).

Ni wako chumba kinachofuata kutoka changu japo kuna siling board lakini nasikia yote wanayoongea kumbe siling board sometimes hazizuii sauti.

Sasa jamaa anampiga huyo mke wake case ni kwamba mwanamke kasuka nywele za saloon wakati hajamwachia hio pesa anamlazimisha atamnyoa hizo nywele demu analia ila analia kiromantical ni kama anadeka nahisi hata hajapigwa.

Ila kiukweli ma file yake sina huyu dada ila nauhakika ana kamchepuko fulani itakuwa kana mtoa viposho anyway mimi sijaoa wakuu ila nilichogundua kumbe wanandoa hawagombanagi serious ni kama kamchezo fulani tu cha kuonyesha uanamme na uanamke, jamaa sasa hivi anamwambia nyamaza nyamaza na uhakika na lazima atamla japo palikuwa na kakipigo.asee wanandoa hapana siwawezi nyie ni noma.

Update: Naona kimya ila ka mziki kwa mbali wamekafungulia nahisi tayar huko. Uzi ufungwe tu maana nilitaka ku prove ugomvi wa wivu wa kimapenzi mtiti wake, nimegundua mjomba na shangazi hawanaga ugomvi.
 
Si ndiyo hapo sasa babe! Kaniudhi sana huyu au tumfate hapo ghetto kwake tumdunde?
Hapa hadundwi mtu, mie nilijenga nyumba ya kuishi watu, sio arena ya kumwaga damu kama kina spartacus.. Mkitaka kudundana, nendeni ulingoni, nyaambafu.. Haya kila mmoja kwake.. Tawanyikeni..

Na nyinyi mwezi huu mtalipa kodi mara 2,na usumbufu wa kutucheleweaha kulala. Nyauba kabisa, shenzi taip, tandarubete.
 
Hapa hadundwi mtu, mie nilijenga nyumba ya kuishi watu, sio arena ya kumwaga damu kama kina spartacus.. Mkitaka kudundana, nendeni ulingoni, nyaambafu.. Haya kila mmoja kwake.. Tawanyikeni..

Na nyinyi mwezi huu mtalipa kodi mara 2,na usumbufu wa kutucheleweaha kulala. Nyauba kabisa, shenzi taip, tandarubete.
Father house usitufokee ujue! Tutakuunganisha na huyo mpangaji mdundwe wote, pia Kupanga chumba ni kumiliki kwa mda hivo tuna uhuru wotee usitupangie matumizi 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom