Hata kuku na mbwa wanagongeana sana kikubwa upate mwanamke ambaye ni mjanja asikuletee maradhi kama vile gonorea.. inauma lakini hakuna namna tusaidiane tu kwa kweli ila hakuna mwanamke wa kwako...
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu.
Kuna jambo la kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku nimeona si vibaya kusaidiwa kudadavua au kulijadili kwa pamoja bila upendeleo!
Kwenye maisha ya...
Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati...
Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia...
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa...
Habari ya mchana wana JF.
Siwezi kusema sijawah kukamatwa kuwa na cheat, nimekamatwa mara kadhaa lakini sijawahi kukubali kuwa nakataa sijacheat. Mbinu yangu ni kukataa katu katu.
Njoo tupeane...
Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto?
Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye...
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa...
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua...
Hivi inakuaje umetongoza mwanamke, unakuta ana mtu wake, anakwambia nakukubalia ila nina mtu wangu.
Anakutimizia kila kitu kwako, mpaka usafi and everything but still yule mtu anakua nae japo...
Kwema wote?
Niende kwenye mazungumzo
Maneno ni kitu kinaumiza sana na kimebeba jumbe nyingi na uhalisia japo kuwa tunaambiwa tuzibe masikio au tufanye hatujasikia lakini niseme maneno kwa mtu...
Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja
By bbc
CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER
Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa?
Swali hili ni kwa...
Jamaa yangu ana mdogo wake kamaliza chuo mwaka Jana. Amekaa Mtaani kodi imeisha akakosa pa kukaa. Kaka yake ni mtu wangu wa karibu. Akanambia mdogo wake anakosa pa kukaa. Jamaa yupo Dodoma.
Pale...
Kwa kuanza ningependa kuwakumbusha baadhi ya maneno yanayopatikana kwenye nyimbo za wasanii wetu hapa nchini.
1. "Hawana alama binadamu wanaokuja kukuhukumu" - DARASA CMG.
2. "Sichagui sibagui...
Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana!
Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza...
Hi every ones
Nina swali lina ni vuruga kweli kweli
Pili nina taka kuomba ushauri
Hivi kwanini wanawake wengi ambao wali kuwa pisi kali mtaani wa kiolewa kwanini wengi wao awa dumu kwenye ndoa...
Mruhusu achague majukumu yake ya ziada: Wakati mwingine kile ulichopanga kwa ajili ya Mtoto sipo moyo wake ulipo. Kila mtoto ana utofauti wake, mpe uhuru
Usijaribu kumbadilisha: Kama wewe ni...
Hii kitu inaitwa Spanish gold fly, ni hatari sana. Kazi yake ni kuhamsha hisia za kingono za mwanamke yani mpaka analoose control. Kuna wanaume wamekuwa wakitumia kwa kutake advantage unakuta...
Hello Jf users,
As per heading above
I'm a woman of 32 years.
University level education.
I have one kid.
Religion-Christian.
I'm looking for a Matured Man to start a serious...
Asikwambie mtu kitu.
Pamoja na mambo mengine, heshima yako na hata majukumu yako kama mtu mzima asilimia kubwa imejikita eneo hilo. Usichukulie POA.
Ulikuwa mtoto ukawa kijana, umepambana na...