Kuhusu ku-cheat kwenye mahusiano

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Hivi inakuaje umetongoza mwanamke, unakuta ana mtu wake, anakwambia nakukubalia ila nina mtu wangu.

Anakutimizia kila kitu kwako, mpaka usafi and everything but still yule mtu anakua nae japo humkatazi

Shida inakuwa nini kwanini asikukatalie wewe abaki na mtu wake au kwanini, asimuache akabaki na wewe ila muda mwingi anakuwa na wewe.
 
Anakuwa amekupenda lakini hawezi kumwacha mtu wake kwa sababu huyo mtu wake anakuwa ni wife material au mtunzaji mzuri anamtunza na hapo anaona wewe hautaweza hayo majukumu. Ila kuchangamshana mwili sawa tu.
 
Shida ni kua waume za watu wanaongoza kumiliki wanawake wandani na nje, sasa unapata mwanamke anatoka na mume wa mtu kafanywa koloni ila anajua kabisa jamaa hana Fyucha yoyote nae, kwahiyo akikupata na wewe kijana hujaona anaona acheze karata 2 kwenye bet tunasema double chance win win situesheni maana dumia yenyewe haisomeki
 
Back
Top Bottom