Haya Maneno Yanauma Sana

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Kwema wote?

Niende kwenye mazungumzo

Maneno ni kitu kinaumiza sana na kimebeba jumbe nyingi na uhalisia japo kuwa tunaambiwa tuzibe masikio au tufanye hatujasikia lakini niseme maneno kwa mtu anayesikia na ni muelewa lazima apate tafsiri na outcomes zote iwe positive au negative.

Mimi binafsi ninachofanyaga huwa nikipita mahali au nikiona watu siwaelewi huwa ninajifanya siwaoni na kama niko mjini sitakagi mazoea na watu wa home kifupi mi huwa najadili issue muhimu tu za kazi au huwa nikiongea huwa naongea na watu wasionijua yaani wageni. Mi ni mtu wa kuhitaji small cycle, my class is to have privacy. Hii njia hunipa uhuru zaidi.

Sasa bhna Ukiwa changanyikeni au watu wanaokufahamu iwe ndugu, kina mangi wadukani, jamaa wa boda boda, walinzi, walimu sijui wenye viti wa mtaa au hawa wafanyakazi wa ndani wote kwa ujumla wao itifaki imezingatiwa😅😅 halo hawa watu ni talkative sana.

Imagine haya maneno yanavyo kera ukisikia ni bora usisikie, Una demu unamgharamia afu wewe umempenda na unajua kabisa demu hajatulia bila pesa, unasikia kabisa mtu anasema jamaa anatoboka mfuko ila huku tunamgonga kwa buku tu daaah au bure akija ghetto. Aseee inauma 😳😳 Mara kwa hiyo jamaa huwa hanaga kazi anamtegemea mama siyo.☺️

Mara Ooh utaoa lini, sijui unaoa lini aseee hawa watu siwapendi kwa ujumla wao.
Unakaa wapi na unafanya kazi wapi sijui nini na nini huu ni upumbavu kabisa.

Kuepuka maneno ni muhimu sana hawa mademu wenyewe tuishi nao kwa akili.
 
Maneno yapo tu ili watu wayaandike au wayaongee...

Si unaona hata wewe na mimi tupo hapa tunajadili maneno yale yale yanayokukera...
 
Kiukweli umemegewa maana umekasirikia maneno ya watu ila ushauri ni kuishi na wanawake kwa akili.

Bros before hos kama we wa kiume kweli nipe assisst
 
Kiukweli umemegewa maana umekasirikia maneno ya watu ila ushauri ni kuishi na wanawake kwa akili.

Bros before hos kama we wa kiume kweli nipe assisst
Assist ya aina gani kiongozi.
 
Namba zake za simu
😅😅😅 I Gave out an example how to handle stresses ilikuwa ni mfano usio halisi mimi sina mitikasi hizo boss yaani napiga chini nikiona nipo na viswaswadu 😅
 
Back
Top Bottom