Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu wana Jf. Kuna jambo naomba kuuliza pengine mimi ndio sielewi. Hivi tukiachana na fedha, nini kingine wanachohitaji wanawake? Maana kuna kenge mmoja kila ninalolifanya kwake...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu, yamenifika hapa Nimekuwa nikiishi na binti wa watu kinyemela kwa takribani miezi MINNE sasa. Tulianza kama masikhara, mwisho nikamruhusu ahamie ili nijihakikishie tunda kila nikiwa na...
5 Reactions
88 Replies
6K Views
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI! Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali...
5 Reactions
94 Replies
18K Views
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA. Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu. Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu...
56 Reactions
103 Replies
14K Views
Habari. Ningependa kuanza kwa kisa. Jamaa mmoja msomi tu wa masters degree kipindi kile Cha 2000 (miaka ile masters ilikua dili sio Kama leo karibu Kila mtu anayo) alipangiwa kuoa binti Fulani...
22 Reactions
56 Replies
5K Views
MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja, Baadhi ya sifa zangu 1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu, 2.Nimeajiriwa 3.sina mtoto wala sijawai kuolewa 4.30yrs...
8 Reactions
124 Replies
16K Views
Huyu binti simuelewi, baada ya kunikasirikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake, Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba, 'kwa vyovyote vile, iwe mvua, jua, kwa Ndumba...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa, natumai hamjambo nyote na munaendelea kupambana na majukumu. Mimi kwa upande wangu pia namshukuru Mungu kwa kuniwezesha pumzi bila gharama yoyote. Mungu ni mwema wakati...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la kikundi cha wahuni wanaopotosha wanawake kwamba kila mwanaume ni lazima awe na wanawake wengi hata kama ameshaowa! Naomba kundi hilo lipuuzwe maana tupo wanaume wenye...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wazazi wetu wamekuwa wakijitahidi sana kuwajibika kutulea na kutujengea msingi walikuwa wakidhani utatusaidia lakini kosa kubwa sio malezi ila ni mkabala waliotumia. Mkabala unaoweka umbali...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers! Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na...
7 Reactions
87 Replies
9K Views
Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza Akipga simu hataki kumaliza...
9 Reactions
113 Replies
11K Views
Nimewasikia wengi wakilitumia neno ndoa halali. Wakisema ni mume wangu halili, wengine wakisema mke wangu halali. Wengine wakisema kuwa wamefunga ndoa halali n.k. Je, mume anaporudi nyumbani...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni mwanamke ambaye nimeishi nae zaidi ya miaka miwili lakini tulikuja kuachana kwa fujo sana kutokana na tabia alizo zianzisha na kusababisha kushuka sana kwa utendaji wangu wa kazi sababu...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Unakuta mnafanya kazi wewe Mwanaume unalipwa 20000 kwa siku ila unayumba balaa mikopo unayo na bado hazitoshi kabisa hata boxer tu au sendo kununua inakuwa kipengele lakini unakuta mdada analipwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini. Nipo Dar kimaisha na kimakazi na natafuta rafiki wa karibu sana ambaye atakuwa nami kimaisha na kimapenzi. Nipo serious na nina mapenzi ya dhati. Umri wake usizidi miaka 50 nami umri...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…