Tupeane mbinu Mbalimbali za kuwanasa mademu kirahisi bila kutumia nguvu nyingi sana

Humble na kind
Friend zone inakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly , hapo nakuunga mkono asilimia zote mjumbe, hizo "mbunu" za humble na kind, utaishia kusifiwa tu na hawa viumbe, possibly friend zone itakuhusu as you said, wanapenda kuita "a good friend of mine"

Na ukikaa vibaya ujiandae kumshauri "friend" wako vile alivyoumizwa na "badboy" wake , damn it, sahau kula tunda kimasihara kwa style hizo.
 
niliwahi kuwa hivi

kuna siku akaniambia nimsaidie kuchagua gauni zuri eti ana appoitment na ex wake kammisi.

hakika nilimsaidia...akaenda akaliwa akarudi akasema nimshauri arudiane naye ama la...

nikajaribu kuomba mzigo na mimi akasema "nilikua nakuheshimu sana denis"

halaulaa lakwata...ndio niliachaga ufala wa kuwa humble na hizo zingine umeandika

Back
Top Bottom