Ushauri wa kijinga na imani potofu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Kumekuwa na wimbi kubwa la kikundi cha wahuni wanaopotosha wanawake kwamba kila mwanaume ni lazima awe na wanawake wengi hata kama ameshaowa!

Naomba kundi hilo lipuuzwe maana tupo wanaume wenye staha na hofu ya Mungu na tunadumu na mwanamke mmoja tu. Na pia ni wanaume marijali kabisa tumeamua kushinda tamaa

Mwanaume mwenye tamaa za hovyo ni mwanaume dhaifu sana ndio wale wakienda jela wanaolewa. Kwahiyo wanawake kuweni na amani kabisa msitishwe na Genge la Wahuni
 
Sio sawa Ku generalise...! Wapo wasioweza kutulia njia kuu na Wapo wanaoweza kutulia Njia kuu....Wake Kwa Waume..!
 
Hoja ni hii; Idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko idadi ya wanaume, vipi endapo kila mwanaume akaoa mke mmoja hao watakaobaki wafenyeje kukidhi haja zao??--- kumbuka hao watakao baki bila kuolewa ni; Dada, Watoto, Shangazi, mama wadogo zetu nk,

Kuoa mke zaidi ya mmoja "inapo bidi" ni muhimu.

NB: sizungumzii juu ya kutembea hovyo na wanawake nje ya ndoa ambacho ni kitendo cha dhambi, nazungumzia juu ya kudhibiti Wanawake wasio olewa kuzurura mitaani kufanya njia za ushawishi kwa wanaume ili kukidhi haja zao.
 
Hata pesa zipo nyingi lkn zinamilikiwa na watu wachache waache wasiokuwa nao wapambane na hali zao
 
Huu uzi huu mbona kama umeanzia PM kwa mtu aisee

Ngoja na mm nikuunge mkono bn ili aamini wapo waliotulia aisee
 
Back
Top Bottom