puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,057
- 2,195
Habari za muda huu wana Jf. Kuna jambo naomba kuuliza pengine mimi ndio sielewi.
Hivi tukiachana na fedha, nini kingine wanachohitaji wanawake?
Maana kuna kenge mmoja kila ninalolifanya kwake anaona ni upuuzi. Nikitaka kumpiga chini, ananitishia anataka kujiuwa. Safari hii nitampa na ofa ya jeneza na sanda bure...shenzi kabisa[emoji57]