Vitu siwezi kuja kufanya kwasababu ya mapenzi

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Vitu ambavyo siwezi kuja kuvifanya hata nipende vipi. Vitu hivi vikitokea bora kla mtu aende upande wke tu na wala sitojiuliza mara mbili ni kuachana tu.

1. Kua against na familia yngu. Hta nipende vp km hakuna maelewano mazur kati ya familia yngu na mwanaume ninaempenda halafu tatzo likawashindwa kua solved naachana nae tu siwezi kuchagua mwanaume niliekutana nae tu hko juu ya familia yngu. Kwa mimi familia yngu ndio kla kitu hpa duniani na hakuna mtu yoyote anaweza kuwa juu ya familia yngu. Huelewani na familia yngu bora tuachane.

2. Mapenzi na kazi. Ati hv ninavohangaika na anatomy na physiology hta silali vizuri halafu mtu aje aniambie niache kazi kisa mapenzi tu. Ati nikae nyumbani tu 🙄 mwanaume wa hv naachana nae mara moja. Siwezi kuja kuchagua mapenzi juu ya kazi NEVERRRR

Kwangu vtu hv vina value kubwa kulko mapenzi. Km hv vitu hv havitokua sawa na mapenzi hakuna. Je wewe ni vtu gani vina value kubwa kwako kuliko mapenzi?
 
Kwangu familia mi baba, mama na wadogo zangu wawili. Baadae nikiwa na watoto nao wanakuwa familia yngu. Mimi boyfriend au husband sio familia yngu.
Wewe utakua hujafika hata miaka 18 pole sana mdogoangu ndoa ni zaidi ya hayo ...ndoa sio ndugu bali ndoa ni mume.... nyama ya nyama mfupa kwa mfupa sasa kama hao ndugu zako ndio watakua nyama ya nyama haya shauri yako.... ukifika 40 utarudi kutupa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom