Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,287
Wakuu leo nimekutana na mtoto mzuri nikaona usiwe taabu acha niongeo naye kdgo hata namba niombe ikiwezekana nitupie maneno yangu siku zijazo.
Duuh nimeongea naye vzr kabsa bila tabu sasa nimeomba namba pia nikapewa bila kinyongo nkajua hii kulaini kumbe loooh ningejua.
Mazee nimemcheki kwa text muda wa saa moja na nusu hajajibu nimampigia akapokea tukaongea vzr tu shida inakuja baadae analalama simu mbovu simu yake kesho anataka aipeleke kwa fundi weeee nkajua kizinga hiki kinakuja hata kabla sijatupia maneno ya kuomba shimo la panya mapema yote hii.
Nikamchana mama mm pia hali yangu sio poa haahhh nilichojibiwa mzuri pesa tu. Sijalewa sijaelewa sijaelewa