Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,760
35,205
Mimi binafsi na roho yangu na Wivu wangu nimekataa, Kwanza hata mkataba wangu na yeye hausemi hivyo..... na kuna vitu vingi hatufanya hiyo pesa ya kugawa kwa mwanamke mwingine inatoka wapi😅😅😆😆😆

Wanaume mnavyolalamika wanawake wamekua watata kwenye hili mtaweza kweli??




Mwanamke mwenzangu kakazia kabisa "The early you accept polygamy the better" 😅😅😅😅

Hii kitu inapendwa na wanaume wote au ni kwa baadhi ya wanaume tuu?🤔🤔
 
Ninawivu kama nyenyere,nikipenda napenda na sijifichi,ni ngumu lakini ukiniweka wazi nitakupenda zaidi
Ukinidanganya halafu nikagundua😁😁

Wakristo ni vile viapo vinatufunga hatukubali kuhalalisha lakini wanaume wanatoka tu🥺🥺🥺

Hivi huu wivu unasababishwaga na nini haswa😅😅😅😅😅 Yaani tunaonaga nini kinapungua.... au wivu tuu basi🤣🤣🤣🤣
Asprin
 
Hivi huu wivu unasababishwaga na nini haswa😅😅😅😅😅 Yaani tunaonaga nini kinapungua.... au wivu tuu basi🤣🤣🤣🤣
Asprin
Mimi hata sielewagi aiseh ila ninaona kama kuna moto wa makaa ya mawe unachoma kwenye moyo na moyo unatamani kunyofoka.

Nikiwa kwenye mahusiano ya siriazi hakuna kirusi nakichukia kama uongo uwiiii Bwana asimame tu kwakweli
 
Kwenye mada nzuri hivi karibuni zilizo wekwa humu jf ya kwanza ni hii kisha baadhi ya mada zinazo husu tozo.

Nakuja kukita goti hapa,nione wanawake wanavyo ikataa hii neema.
 
Kwenye mada nzuri hivi karibuni zilizo wekwa humu jf ya kwanza ni hii kisha baadhi ya mada zinazo husu tozo.

Nakuja kukita goti hapa,nione wanawake wanavyo ikataa hii neema.

Hebu njoo utafafanulie maana ya hiyo neema maana mimi roho inaumaaaa kabla hata ya kuletewa huu mswaada...... wivuuuuuuu🤣🤣🤣
 
Hebu njoo utafafanulie maana ya hiyo neema maana mimi roho inaumaaaa kabla hata ya kuletewa huu mswaada...... wivuuuuuuu🤣🤣🤣
Haya mambo huwa mazito kwa Wanawake wengi ila kwa maajabu ya Mola huwa ndani yake anayawekea wepesi.

Wanawake wengi huwa wanapata shida mwanzoni,ila baadae huzoea na huu ndiyo ukweli ulivyo.

Mwisho wa siku akili zinatulia na kujua lipi la faida na maana,ndiyo mnashikilia. Mathalani mwisho wa siku wanawake wengi washikilia katika kuonyeshwa mapenzi na kuhudumiwa. Hili ndilo la maana.
 
Basi naomba nkuambie kuwa ukikataa official wa kuletwa home means umekubali vijimichepuko nje hakuna mwanaume anaeridhika na mke moja tu.
Ni kwako kuchagua kujua ukweli au kujidanganya nafsi yako

Dini inaruhusu?

Swahiba swahiba kule kwenye siasa tumeelewa sasa naona umeamunaoa kuja kuniumiza moyo huku😥😥

Mimi nakataa sababu sijaona wala kusikia..... wacha tu niwe kama FayVanny😆😆
 
Hili liko wazi,sharti kubwa ni lazima uwe na uwezo,kama huna uwezo baki na mmoja.

Hebu tuorodheshee majukumu ya mwanaume anayotakiwa kuyafanya sawa kwa sawa kwa wake wote wawili😥😥
 
Hebu tuorodheshee majukumu ya mwanaume anayotakiwa kuyafanya sawa kwa sawa kwa wake wote wawili😥😥
Ngoja nikupe faida bibie. Hapa nakupa misingi mengine utayapata kutokea hapa.

Kuna huduma na kuna mapenzi.Hakuna sawa sawa bali kuna haki na stahiki,yaani kila mmoja apate stahiki yake. Mfano siwezi kupeleka kilo tatu za mchele kwa mke mwenye watoto wa 4 na nikapeleka kilo tatu za mchele kwa mke mwenye mtoto 2. Huu si usawa bali ndulma. Yaani kila mmoja apatiwe anacho stahili.

Ama kuhusu mapenzi aisee sikufichi huwezi kuwapenda wake zako wote upendo wa sawa,ila upendeleo ndiyo haifai. Mapenzi huchochewa na yule anayepndwa.
 
Back
Top Bottom