Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wakuu , natumai mu wazima sana. Ishu iko hivi , wiki kadhaa nyuma kuna kitu kilitokea. Wakati nimetulia gheto na mchumba ,nilikuwa nimemuazima kidogo simu yake. Mara kuna text ikaingia...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Eti nyie wadada, mna shida gan hadi muweke kikopo cha kukojolea ndan alafu mnavyojifanya wajanja sasa tukija mnakitoa nje...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
UPDATE: High Court judge Teresia Matheka declares being a housewife a full-time job, says housewives offer payable services at home and should not regard themselves as jobless.
1 Reactions
5 Replies
956 Views
Hivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..? Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi vitu ni kama mashindano ya michezo maana lefa wake ni pesa,muonekano,mazoea,historia,malipo,fazila,maisha,umaskini na n.k. Mapenzi vs hisia ndio vinaweza kuleta majibu kama madishi...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna ile situation mtaani kuna msichana mmoja hivi. Mkaliii ila malaya. Kasharuka na mabaharia wengi wa mtaani. Bado yupo katika mahusiano na wanaume kama watatu hivi, wenyewe hawajui kama...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Anakuwa na sifa hizi:- Anakuwa mnyenyekevu Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako Atakuwa...
12 Reactions
124 Replies
10K Views
Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli?
5 Reactions
90 Replies
7K Views
Habari Wadau, Kwa maisha niliyoshuhudia mwenyewe na si kuhadithiwa nina kila sababu ya kusema kuwa wazee wetu ndio waliofurahia ndoa na sisi vijana wa sasa tunapambana tu. Sababu za kwanini...
3 Reactions
4 Replies
784 Views
Mchana mara tu punde unaporudi kazini au kwenye mishe mishe zako? Jioni baada ya kupumzika? Mara tu baada ya kula chakula cha usiku? mara tu baada ya kuingia kitandani? Usiku wa manane? Au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo ni vipi? Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn...
16 Reactions
157 Replies
13K Views
Habari za siku ndugu wanafamilia wa JF!, Poleni na Majukumu Mazito ya kifamilia na ya kutafuta Mkate wa Kila siku hasa kwa awamu hii ngumu ya 5. Naomba nianzie hapa.. Kwanza kabisa mimi ni...
7 Reactions
62 Replies
9K Views
Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
I know many girls and ladies gonna be angry with this post but try learn from it. Guys, how do some of you even cope with dating a broke girl? I know some still don't understand what I mean by...
64 Reactions
255 Replies
20K Views
Familia nyingi sana! Watoto wanaishi kwa masikitiko! Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari! Kibaya zaidi watoto hawa...
6 Reactions
2 Replies
990 Views
Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao. Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hello wa JF Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar. Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka...
1 Reactions
1 Replies
821 Views
Hello, Kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi...
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Mahusiano ni maisha, Katika Kipindi ambacho bado upo Duniani Huwezi kukwepa Kutafuta Mwenza, Sasa Usifanye Kosa la Kulazimisha mapenzi, Yatakula Furaha yako ,Yatakula Muda wako na yatakuondolea...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…