Ni muda gani unaenjoi kukutana na mwenza wako

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Mchana mara tu punde unaporudi kazini au kwenye mishe mishe zako? Jioni baada ya kupumzika?
Mara tu baada ya kula chakula cha usiku? mara tu baada ya kuingia kitandani? Usiku wa manane? Au alfajiri tu punde unapoamka?

Ni muda gani unainjoi kukutana kimwili na mwenza wako?

Binafsi ni ile alfajiri, na punde tu baada ya kuingia kitandani huwa nainjoi sana bila kusahau ule muda ninaorudi tu mishe mishe nikishapumzika kidogo lazima nipoe kwenye papuchi ya mwenza wangu,
Hiyo ni lazima kwa sababu ndio huwa inaniweka fresh na kunitoa mawazo na changamoto za kazi ya kutwa nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh,mkuu punguza huo muda tafuta sughuli nyingine za kukushape,kukuingizia kipato na kukufanya uwe mbunifu.

Najua tayari una kazi kwa Mujibu wa Maelezo yako, Ila ZINGATIA kupunguza muda unajichosha akili na mwili.
 
Vunja mifupa kama bado meno ipoooooo.

Usijidanganye alimaanisha meno ya mdomoni.

Alimaanisha kiunoni kama yaliyomo yamo na shabaha ipo we piga tu miti.
 
Back
Top Bottom