Hivi unaweza kumvumilia mpenzi wako kwa hili?

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Hello,

Kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?

1111.jpg
 
Hapo utakuwa unabahati sana kwani umepata majibu ya mtihani hivyo ni wewe kuyafanyia kazi. Nina maana, una madhaifu yanayo mkwaza (Inaonekana unadeka kama mtoto au dem) hivyo jiangalie kama kuna ukweli ujirekebishe usimame kama Mwanamme maisha yaendelee!
 
Nashangaa wanaume mnavyomshambulia mtoa mada as if hamuwajui wanawake

Mademu wengi hawana uwezo wa ku stay calm, usipo enda nae sawa anaanza kuongea maneno ya kipuuzi kwasababu anakuwa too emotional & depressed. Huyo huyo baada ya muda unakuta anakuhitaji.
 
Hello, kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?
Pole sana mkuu
 
Labda alikua anajua unamskia, kwahiyo alitaka tu ujumbe ukifikie.

Na hata labda huna hayo mambo ya kike ni vile tu anakuchapa panapouma ili ulegee akuendeshe, we kazia hapo hapo haina kulegeza wacha aendelee kusema una mambo ya kike ivo ivo.
 
Huyo mwanamke ni manipulator
 
Hello, kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?
Inabidi ujitafakari kwanza wewe kwanini mpaka inatokea anatamka maneno Kama hayo
 
Back
Top Bottom