Saoka
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 404
- 563
Habari za hapa wakuu.....,,
Baa za siku hizi zinakila kitu kurahisisha maisha ya mnywaji
Kuna parking, kuna wahudumu wazuri, kuna kila chakula cha asbuhi, mchana na jioni, kuna waosha magari, kuna tigopesa na Mpesa, kuna kinyozi na hata saluni kama umekuja na mpenzi anahitaji kutengeneza nywele, kuna sehemu za kuchaji simu, choo na hata bafu, kwingine kuna vyumba hapo hapo.
Yani kumekosekana tu padri au mchungaji wasoma misa na mashine ya kufua nguo basi, lasivyo ungemwona mumeo nyumbani siku ya pasaka kufufuka kwa Yesu.