Tambueni Hili Wakuu

Tambueni Hili Wakuu

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
KAMA ULIKUWA HUJUI

Afrika ndio bara lenye wapenzi waaminifu kuliko mabara yote
Katika utafiti uliofanyika juu ya UKOSEFU WA UAMINIFU katika mapenzi nchi za ulaya zimeongoza kwa kutokuwa waaminifu kwenye mapenzi ambapo ufaransa, Italy, uingereza, Belgium, ujeruman na Denmark zimeongoza kwa kutokuwa waaminifu kwenye mapenzi

Katika utafiti huo nchi ya THAILAND ndio imeongoza kwa wapenzi wake kutokuwa waaminifu ambapo asilimia 56 ya wapenzi wanasalitiana.

@fact[emoji3578]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa utafiti wa thailand
 
Hujawaelewa , wanamaanisha Africa tuna maisha magumu kuliko mabara yote, unakaa na mmoja cause huwezi afford mahusiano mengine...mapenzi pesa...
 
Hujawaelewa , wanamaanisha Africa tuna maisha magumu kuliko mabara yote, unakaa na mmoja cause huwezi afford mahusiano mengine...mapenzi pesa...
Kweli kabisa unachokisema.. Ni UGUMU wa maisha ndiyo tatizo la Africa.

Mkuu ushaskia huko ulaya mtu kajinyonga kisha mapenzi au kasalitiwa..?!
255755860134_status_3fae69f148554460985d6092276ba654.jpg
255752897029_status_1cbe1534431a41568bcb56ab19056c66.jpg
 
Back
Top Bottom