Megabits
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 532
- 587
Heshima kwenu wakuu...
Kuna baadhi ya mambo yaliwahi kujitokeza hapo zamani wakati nipo kijana wa makamo miaka ya 2000 enzi zile nipo shule ya msingi niliwahi kushuhudia kisa kimoja kwa baba aliekuwa jirani yetu ambaye walikuwa akiishi na binti yake ambaye alikua tayari amevunja ungo baada ya mkewe kufariki.
Ilisemekana kwa mujibu wa baadhi ya majirani ambao walikuwa mashuhuda wa mkasa ule wa binti kushika ujauzito sababu ya kushare taulo yeye na baba yake mzazi kujifutia sehemu za siri baada ya kuoga.
Hii ilitokana na mazingira waliyokuwa wakiishi na ugumu wa maisha hivyo kujikuta wakishare baadhi ya vitu.
Lengo langu hapa ni kutaka kufahamu hii kitu imewezekanaje ikiwa kitaalam tunajua kuwa moja ya sababu zinazoweza kupelekea kutotokea kwa tendo la fertilization ni low sperm count sasa hapa najiuliza ikiwa sperm zikiwa ndogo au pakiwepo na pre mature ejaculation ni kwamba jambo la urutubishaji haliwezi kutokea sasa je hiyo nadharia katika kisa hiko kifupi hapo juu ina ukweli wowote, Au yule baba alimgeuza mwanae(bintie) kuwa mke .
Wajuzi mnalichukuliaje hili...