Habari MMU.
Binafsi husikia watu waliooa wake wawili, watatu, wanne na kuendelea ila sijui nana wanavyoishi.
Je kila mwanamke ana nyumba yake? je wanaishi ndani ya nyumba moja?
Mengine
1/Hao...
Wanaume wenye changamoto katika mahusiano ni miongoni mwa evidence zinazoupa nguvu msemo huu wa wanawake hawapendani. Ili mwanaume utofautiane na mwanamke lazima mfanane tabia, wote mmiliki tabia...
Hureee! Hii pia Ni salamu njema kwenu kwa sababu siku imepita salama na amani.
Lakini kwa bahati mbaya nimeharibiwa siku na haka kasichana ambako kwa umri nimekazidi sana, nimekazidi elimu zaidi...
Mi kijana umri miaka 33. Naishi Moshi..natafuta mwenza wa maisha ambae atakua mke tuwe na familia mungu akijalia. Mwanamke ambae mwenye uhitaji wa mwenza wa maisha alie serious tuanzishe mahusiano...
Amina alimaliza siku zake tarehe 26.06.2016,akaja akakutana kimwili na Mussa siku moja tu tarehe 02.07.2016 baada ya hapo Mussa akasafiri.
Mwezi wa 8 kuanzia tarehe 1 na kuendelea Amina...
Watu wengi wamekuwa wanatamani kupata nafasi ya kupendwa na watu wanaowapenda, wahitaji, lakini wamekuwa hawajui njia za kufanikisha hayo yote.
Leo nataka nikupe siri moja.
Ili umvutie mwanadamu...
Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako.
Mwanzoni ilikua najua labda...
Habari za muda huu GUYS...
Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana).
Kwa mara ya...
Habari wana JF.
Kama title inavyosema ni kabinti kangu yaani katoto kangu ka kike kenye umri wa miaka 9.5 sasa.
Majuzi nimekaa nako kwenye gari nikisubiri bidhaa nilizoagiza huku nataniana naye...
Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje?
Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu?
Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila...
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao.
Fikiria mtoto wa Dar es salaam...
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana.
Leo naendelea na muha taeleza siku naondoka rasmi na kuachana Naye.
Nakumbuka nyakati hizo Yule mwanamke alizidi kunipanda kichwani...
Wakuu
Mtu anayetembea na mke Wa mtu kimapenzi kwa kufahamu kabisa. Huyo mtu Mimi namuonaga kama takataka tu tena mpumbavu.
Hana tofauti na mbwa, Malaya mkubwa
Kwanza kabisa!
Heshima kwenu watumiaji wa pampuchi za Bei Nafuu pamoja na wale wote walio kwenye mahusiano..
Sitaki kuwachosha Sana.. Yafutatayo ni Mambo yalionifanya Nichukie kwa dhati ununuzi...
Kitendo cha kushindwa kutambua kwamba uliye naye hakupendi ni tatizo kubwa sana.
Unapokosa utashi wa kujua unapoteza muda kwa huyo uliye naye ni kutaka kuwa mtumwa wake.
Upendo umepungua sana...
Katika kitabu cha John Maxwell kiitwacho Thinking for Change kuna point alizungumzia kuhusu mahusiano ya mwanamke na mwanaume kama hawashiriki tendo la ndoa au sex hapo hakuna TRUE LOVE zaidi ya...
Habari zenu wana jf Uzi wangu wa kwanza huu nitililike kwenye mada.
Kijana mwenzenu naelekea kutwaa jiko ivi karibuni ivo nlitaka kufahamu ni aina gani ya mke ni sahii kuishi nae maisha ya ndoa...
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).
Kwanini...
Dondoo za kuzingatia katika mjadala:-
1. Ndoa nyingi zimeacha kufanyika baraka kwa ndugu (Charity that does not begin at home).
2. Ndugu za mwanamke akiishi katika ndoa anatoboa kimaisha kuliko...
Wadau imenitokea nipo katika mahusiano na mwanamke mmoja tuna miezi miwili na mipango kadhaa tatizo lake hataki kunitumia picha zake Whatsapp wala kupiga picha na mimi anadai hana muda wa kupiga...