Haka kabinti leo kamenikera sana

Yoranda

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
341
333
Hureee! Hii pia Ni salamu njema kwenu kwa sababu siku imepita salama na amani.

Lakini kwa bahati mbaya nimeharibiwa siku na haka kasichana ambako kwa umri nimekazidi sana, nimekazidi elimu zaidi kwa sababu hata chuo hakajamaliza, kakimaliza degree moja itakuwa nakadai degree mbili ndio kaweze kuwa sawa na Mimi. Kibaya kwake nimekazidi umri na intelligence, uwezo kifedha japo kanaona kanahaki kula pesa zangu.

Nije kwenye hoja yake, kana post kwenye profile mambo yanayonigusa moja kwa moja, ieleweke kwamba baadhi yetu wanaume, kipengele cha kuhonga ni shida kama kushusha kubeba kilo 1000.

Hii tabia ya kuomba pesa kijanja kwa hila wanawake hawastaarabiki tu? Unapost badala ya kuachana naye au kumwambia ajue moja? Kimsingi kugonga ni vigumu sana, nilitaka tunda tukalila, shoo ililipiwa unataka nini tena? Hata kuotana baby niilipie? Na midevu yangu uniite baby niilipie?
 
Kama una degree 3, pesa etc unatoka wapi na hako katoto? Sijui Elimu inawasaidiaga nini? Hamuwezi kwenda sababu! Kuna frequency fulani zitakataa tu!
 
Kama una degree 3, pesa etc unatoka wapi na hako katoto? Sijui Elimu inawasaidiaga nini? Hamuwezi kwenda sababu! Kuna frequency fulani zitakataa tu!
Eleza kwa ufasaha, kwa wanawake utataka nini Kama sio tunda. Zile degree za chupi wanazitoa mabaharia au maprofesaaa
 
Back
Top Bottom