Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale niaje mazee wakubwa shikamoo, wadada pisi kali mambo vp warembo?
Any way nije kwenye point kuna mademu wawili mapacha nilifahamiana nao instagram...
Habarini Ndugu zangu
Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali.
Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati...
Story inaanzia hapa.
Nimeingia kwenye basi nina begi langu la mgongoni nimeshikilia risiti mkononi natafuta seat yangu. Nakutana na seat mbili zipo wazi moja ni yangu nikakaa seat ya dirishani...
Wakuu hopefully amjambo ngoja niende kwenye point ..
Nina Kaka yangu ambae ndie first born wafamilia .. nashindwa kumuelewa kabisa .. kila Ela yangu ikipitia mkononi mwake hua airudi Ni Mara kwa...
Yes she is gift,
You only see her natural glowing skin on her hands
Her voice of compassion, smooth like an Arabian serin.
Its very enough to judge if she is so much beutfull, by simply looking...
Nisipoteze muda.
Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni
1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo...
Ni miezi kadhaa tumekuwa na mahusiano. Ni kweli kwamba nilimkuta na vimeo vingi sana ila aliniahidi kuacha lakini tulipokuja swala la kupima alikuwa akiitikia tu na kutumia kila namna tuhairishe...
1. KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA UDHAIFU WAKE
Mungu pekee ndio haana udhaifu, Kila ua waridi lina chimbuko lake.
2. KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA HISTORIA YAKE MBAYA
Hakuna mtu ambae ni...
How many times has a man examined you from head to toe? I'm pretty sure you stopped counting by now!
While the male gaze sweeping across your body may seem very creepy to you (unless...
Hi JF members,
Mimi ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza...
Wakuu naomba tusaidiane.
Unawezaje kufikisha ujumbe kwa mapenzi wako au mkeo kuwa hakulidhishi?
Je, ni sahii kumwambia direct au Kuna njia ya kufikisha ujumbe huu kwa wepesi?
Je, ni sahii...
Mfano una mke mmeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla wewe umetoka kwa safarI siku unarudi unakuta ndanI peupe yaanI kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana...
Salams Wana JF wenzangu!
Kama mnavyo jua changamoto za maisha zimetufanya tuwe mbali na familia zetu, hivyo yanapo kuja mambo muhimu ambayo yanahitaji usaidizi wa kifamilia imekuwa shida sana kwa...
Katika semina wanazopeana wanawake huwa na msemo huu, ya kuwa mwanaume ni kama mtoto wakiwa na maana ya kwamba ili umuweze mwanaume inakubidi uishi naye kama unaishi na mtoto yani mambo ya...
Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:-
Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali
Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini
Anaweza...
Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno.
Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume.
Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka...
Kondomu ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana.Nazo hubana kutokana na umbile la uume au uke.
Kondomu hizi zipo za aina tofauti kutokana na...
Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!!
Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!!
NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja
wadau...