Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

BILL GATES AFAFANUA KWANINI BINTI YAKE HATAOLEWA NA MASIKINI: Mwandishi mmoja wa habari katika kikao kilichofanyika Marekani alimuuliza Bill Gates. Je, angekubali binti yake kuolewa na masikini...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo. Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na...
184 Reactions
293 Replies
29K Views
Wana MMU nawasalimu wote. Niende kwenye mada ambayo nikikumbuka sometimes huwa nacheka na saa nyingine nahuzunika pia tuanze na vya kuchekesha; Baada ya kuhitimu masomo yangu niliamua kuondoka...
30 Reactions
32 Replies
10K Views
Mimi Zee Korofi nina dada yangu, aliolewa na jamaa mmoja aliekuwa anamuhudumia vizuri tu na sometimes alikuwa anahudumia home katika special occasions za isaues fulani fulani. Sasa alipata bwana...
14 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii ni maada ususani kwa kwa wanaume hasa vijana ambao wapo kwenye harakati za kusaka wake au Wanataka kuachana na hao wanawake. Wewe Kama mwanaume unatakiwa uishi kimalengo na kimikakati huwezi...
17 Reactions
37 Replies
7K Views
Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu. Niende kwenye mada, Wanaume sisi ni viumbe wenye uthubutu sana...
26 Reactions
56 Replies
7K Views
Wanawake / Mabinti baadhi wamekuwa watumiaji wazuri wa limbwata kama sehemu ya kuongeza chachu ktk mahusiano yao ya mapenzi. Zifuatazo ni baadhi ya teknolojia maarufu ama niseme pendwa za...
7 Reactions
92 Replies
14K Views
BABY HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA, MIMI NI WAKO, TRUST ME. Niliyavaa mapenzi nikiwa sekondari, sikuwa hodari wa kutongoza mabinti, nililelewa na kukulia kwenye familia iliyojitoa wakfu kumtumikia...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari za kazi waungwana Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi kwa members wote wa Jf. I hope mko na afya njema tu, if not so m/Mungu awape wepesi na kuwaponya. Back to the topic, hivi karibuni kametokea ka 'atmosphere' ka ovyo mno kwenye relationship...
10 Reactions
102 Replies
9K Views
Napita maeneo ya shule ya msingi Tandale Magharibi, foleni ni ndefu na magari hayatembei, barabara imejaa kundi la kina mama wakiongozwa na kundi la matarumbeta eti wanaenda kumsuta mwanamke mmoja...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Unakereka na nini ukifanyiwa wakati wa kufanya mapenzi? Mie kunilamba Sikio. Kuna wapenzi wangu flani hivi wenyewe wapo kama Nyau wanapenda kunilamba masikio mpaka wanaboa, Nilishawaambia mimi...
15 Reactions
274 Replies
54K Views
Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada 🤔 ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe...
13 Reactions
77 Replies
5K Views
Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano. Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wana JamiForums? Kiukweli wanaume wenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea wanajua kupenda mwanamke asikwambie mtu. Wanaume hawa wakiamua kumpenda mwanamke jaman wanampenda haswa. Kwanza...
28 Reactions
270 Replies
20K Views
Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda sana hapa mtaani kwetu, one day niliamua kumchana live ila alinikataa! Basi nikaamua kupita hiv!. Rafiki yangu akamtongoza akakubaliwa, akala, akanilingishia...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Naogopa Sana Iko hivi jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi. Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez...
27 Reactions
146 Replies
13K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, shere na sisi jinsi ulivyopigwa tukio kwenye mapenzi Mimi demu wangu wa kuanzia form one , tulipomaliza form four yeye akaenda chuo cha Ualimu, mi nkaenda advance...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Wana JF habari za majukumu, Naombeni ushauri kwa huyu mpenzi wangu niliye naye, kuna siku tulikosana nikamrushia maneno makali sana nikamwambia yaani wewe mimi kukuoa itakuwa ngumu sana. Basi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli katika maisha hakuna kitu kikubwa sana kama talent ukiwa na talent yoyote ile unaweza kufanya kila kitu utakacho kupitia talent wengi wameweza...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…