Shea na sisi jinsi Ulivyopigwa tukio kwenye Mapenzi na ilikuaje

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,050
5,078
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, shere na sisi jinsi ulivyopigwa tukio kwenye mapenzi

Mimi demu wangu wa kuanzia form one , tulipomaliza form four yeye akaenda chuo cha Ualimu, mi nkaenda advance na pakawa hamna mawasiliano, nimemaliza six nae kamaliza cheti cha ualimu na karudi na mimba, alaf jamaa alikua serious mno maana alitoa posa na kuoa mazima.
 
Tulikuwa wote o-level tukiwa tumekaribia miezi ya kumaliza akabigwa mimba na msela wa kitaa fundi gereji harafu rafiki yake ndo akaja niambia hongera baba kijacho wakati tangu tunaanza mahusiano sikuwahi kupewa Game kisa tusiharibu masomo yetu, nikapatwa na msituko ulinifanya nikafeli mtihani wa form four, hapo alikuwa amesha kula ada za mzazi wangu nyingi, sito kuja nisahau,
 
Duuh! Pole sana mkuu , mapenzi yana nguvu sana.

Vipi yeye alijitetea vipi? Baada ya ww kupata info kutoka kwa rafiki yake, ulipo-mface yeye alisemaje?
 
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, shere na sisi jinsi ulivyopigwa tukio kwenye mapenzi

Mimi demu wangu wa kuanzia form one , tulipomaliza form four yeye akaenda chuo cha Ualimu, mi nkaenda advance na pakawa hamna mawasiliano, nimemaliza six nae kamaliza cheti cha ualimu na karudi na mimba, alaf jamaa alikua serious mno maana alitoa posa na kuoa mazima.
Na waliopiga matukio hayo nao wana comments hapa hapa au kuna thread yao inakuja..?!
 
nimepigwa sana hela za nauli, nikizijumlisha unapata ka 'bebiwoka' flani cha kukamatia mbususu chubby cbe pale
 
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, shere na sisi jinsi ulivyopigwa tukio kwenye mapenzi

Mimi demu wangu wa kuanzia form one , tulipomaliza form four yeye akaenda chuo cha Ualimu, mi nkaenda advance na pakawa hamna mawasiliano, nimemaliza six nae kamaliza cheti cha ualimu na karudi na mimba, alaf jamaa alikua serious mno maana alitoa posa na kuoa mazima.
Kama ulikuwa kwenye akili yangu nilitaka nianzishe Uzi kama huu, Mimi nilitaka niseme eleza jinsi ulivyo pigwa na kitu kizito kwenye mapenzi. Nita let's kiss soon.
 
Back
Top Bottom