Hana imani tena na mimi...

Hana imani tena na mimi...

sam green

Senior Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
193
Reaction score
300
Wana JF habari za majukumu,

Naombeni ushauri kwa huyu mpenzi wangu niliye naye, kuna siku tulikosana nikamrushia maneno makali sana nikamwambia yaani wewe mimi kukuoa itakuwa ngumu sana. Basi mambo yakaisha tukasamehana lakini mpenzi wangu amekuwa hana raha yupo tofauti na mwanzo, hana imani na mimi muda wote anajsemesha kuwa sitamuoa.

Wakati huo niliongea kutokana na hasira ila katika uhalisia mpenzi wangu nitamuoa na amini Mungu yupo pamoja na mimi japo yeye haniamini tena. Kwasasa mambo mengi yanaendelea lakini anakosa raha anafanya vitu kwa wasi wasi

Naombeni ushauri nifanyejee ili aniamini kama zamani
 
Hadi muda huu dada yupo njia panda, kuna uwezekano kuna anatongozwa na mwanaume mwingine...

Kauli yako inamfanya awe mguu mmoja huku, na mwingine kule...

Hii ni dalili kuwa utampoteza muda si mrefu endapo jamaa ataanza kuwa wa kwanza kufanya move ya kuoa...
 
Vemaa , na nyote mna Umri gani?

Unajua ile siku ulivotamka hayo maneno
Alikutafasiri kama

Unamdharau ..hakufaii..una mwanamke mwengine ... Anapoteza muda...Sababu umempangiaa ......N.k

Sasa huwa hawapendi wajihisi ivo... MWANAMKE ANAISHI KWA HISIA YAAN HAWAONGOZWI KWA UTIMAMU WA AKILI ZAO.

Kwa kauli yako, alianza fikiria kwann alipokuomba kitu fulan hukumpa?? Kwann ulifanya vile..vileeee vileeee.

Anakuja kuhitimisha ahaaa kumbeee ndo maana Leo kaniweka wazi.

Huwezi amin , ataanza tengeneza nafasi kwaajili ya Bwana mwengine Mwenye malengo naye.

Ningekua Kosa LA ugonv ningekushauri

KWA LEO ITOSHE KUSEMA, KUNA WAKATI WANAWAKE WANAKUPROVOKE KWA MAKUSUDIIII TUUU YAAN ANATAFUTA KAKITU KUKUPA HEKAHEKA WEEE AKUJAMBISHEE ,UMZENGUEE, UMPE MAKOFI, ...AFURAHIIIIIIIII SIKU ZIENDE.

SASA UKISHINDWA KUTOFAUTISHA KOSA KATIKA HUO MSINGI WAHAPO JUU. KUA ANAKUZENGUA TU AU ANAMAANISHA.

Ama utampoteza aliyesahihi kwako, ama unaenda kuishi na Jambazi.!!

NI hayo tu, Mallya!!
Nashkruu kwa ushaur ndugu
 
Duh kweli kbs an
 
Kamtambulishe kwenu au wewe ukajitambulishe kwao, hapo amani na utulivu utarudi
 
Ukigombana na mwanamke hakikisha, maneno unayoyatamka ni je baadae utamtaka tena au ndo mnaachana jumla.
Thank you.

Kuongeza..mara nyingi tukiwa na hasira huwa tunasema vitu ambavyo ni sahihi(ambavyo tumekuwa tunaviwaza) ila hatukupaswa kuvisema.
 
Mdomo ulimponza kichwa na hapo ili akuamini inabidi ndani ya wiki upeleke posa, na umvishe pete ya uchumba.
Tofauti na hapo lazima upigwe chini. Akitokea jamaa mwenye nia lazima achukue mzigo kwasababu wewe hutamuoa.
Hasira hasara
Wana jf habari za majukumu, naombeni ushauri kwa huyu mpenzi wangu niliye naee , kuna siku tulikosana nikamrushia maneno makali saana nikamwambia yaani ww mimi kukuoa itakuwa ngumu saaana ,, bas mambo yakaisha tukasamehana lakin mpenz wangu amekuwa hana raha yupo tofauti na mwanzo hana imani na mimi mda wote anajsemesha kuwa stamuoa... Wakati huo niliongea kutokana na hasira ila katika uhalsia mpenzi wangu nitamuoa na amini mungu yupo pamoja na mi japo yeye haniamini tena kwa sasa mambo meng yanaendlea lakin anakosa raha anafanya vitu kwa wasi wasi
Naombeni ushauri nifanyejee ili aniamini lama zaman......
 
Vemaa , na nyote mna Umri gani?

Unajua ile siku ulivotamka hayo maneno
Alikutafasiri kama

Unamdharau ..hakufaii..una mwanamke mwengine ... Anapoteza muda...Sababu umempangiaa ......N.k

Sasa huwa hawapendi wajihisi ivo... MWANAMKE ANAISHI KWA HISIA YAAN HAWAONGOZWI KWA UTIMAMU WA AKILI ZAO.

Kwa kauli yako, alianza fikiria kwann alipokuomba kitu fulan hukumpa?? Kwann ulifanya vile..vileeee vileeee.

Anakuja kuhitimisha ahaaa kumbeee ndo maana Leo kaniweka wazi.

Huwezi amin , ataanza tengeneza nafasi kwaajili ya Bwana mwengine Mwenye malengo naye.

Ningekua Kosa LA ugonv ningekushauri

KWA LEO ITOSHE KUSEMA, KUNA WAKATI WANAWAKE WANAKUPROVOKE KWA MAKUSUDIIII TUUU YAAN ANATAFUTA KAKITU KUKUPA HEKAHEKA WEEE AKUJAMBISHEE ,UMZENGUEE, UMPE MAKOFI, ...AFURAHIIIIIIIII SIKU ZIENDE.

SASA UKISHINDWA KUTOFAUTISHA KOSA KATIKA HUO MSINGI WAHAPO JUU. KUA ANAKUZENGUA TU AU ANAMAANISHA.

Ama utampoteza aliyesahihi kwako, ama unaenda kuishi na Jambazi.!!

NI hayo tu, Mallya!!
Ni kwel kwa uliyosema mkuu..yupo alieniletea hekaheka za ivo kwa kunambia kuwa amecheat...aysee nliamsha nae matusi ya kutosha na ndo ukawa mwsho wetu...ila nlijafikir iv kwel kama mlikuwa mnapendana..afu from knw whr mtu anakuambia tu amecheat..itakuwa alifanya kunipimaa...ila kwel ckuwa tayar kuendelea nae maana nlikuwa too weird..nisingemwamin tena hata kama alisema vile kwa kunipima
 
Ila inaonekana nawe una ushamba flani hivi..unamnyanyasa mtu kisa kumuoa?
 
Jifunze kukitawala kinywa chako wakat umechukia maana jeraha litokanalo na kinywa huwa haliponi haraka
 
Hawezi kukuamini hadi mtakapofunga ndoa, hivyo basi fanya mipango ya Ndoa haraka iwezekanavyo.
 
Sijui km nakosea ila binafsi kwa wanawake wengi wa Afrika ukiomba msamaha unaonekana kama mdhaifu/ umejisubmit. Tumia tu akili kuzungumza vitu vya kuonesha mtakuwa pamoja Forever km 'Watoto wetu watafanya hivi na vile', n.k.
 
Back
Top Bottom