Jinsi muziki ulivyonipatia wapenzi mtaani

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Sep 17, 2021
316
831
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli katika maisha hakuna kitu kikubwa sana kama talent ukiwa na talent yoyote ile unaweza kufanya kila kitu utakacho kupitia talent wengi wameweza kujiajili wao wenyewe kama vile talent ya music ambayo leo imewatoa kimaisha wakina diamond, harmonize, alikiba, youngghost na wasanii wengi,

Nije kwenye point mimi ni muimbaji nafanya muziki wa bongo fleva japo bado bado sijawa on top ila kwa upande flani nafanya nyimbo kali na youtube yangu imenona kidogo views kuanzia 9k uwa nafika bila promo yoyote anyway kiukweli talent yangu ya muziki imenipatia mademu wa kila aina pamoja na marafiki mbali mbali,

Suala la kuchakata mademu kwangu ni kama maji mademu wamekuwa wakishoboka wao wenyewe wengi wakitaka niwaambie hapo ndipo wanapojikuta wanaliwa papusi fasta wapo walionifuata wenyewe na kuniaproch wapo wanasifia nyimbo zangu na wakaja kuliwa baadae wapo niliowatongoza kwa gia ya muziki na nikawala kwangu mademu situmii nguvu zaidi ya kutumia kipaji changu cha muziki na naishia kuwala kuna demu juzi kati nilikutana nae njiani nikamuomba namba then baadae night tukaanza kuchati nikwamwambia ulivyo mzuri umesababisha hadi nimekutungia nyimbo special kwaajili yako akanijibu ooh embu nitumie basi nikamtumia nyimbo ambayo nimemuimbia kwa sifa kede kede then nikamwambia uje hm nikuimbie live live kihisia najua utaipenda demu akanijibu sawa siku 2 demu huyo hadi hm nikaanza kumuimbia kihisia demu nikamuona genye zimempanda akaishiwa kuliwa safwiii.

Sipo hapo kujisifia ila my point ni kwamba kama hauna hela tumia talent yako utawala sana hawa dada zetu siku hizi wanaliwa na watu wenye talent hau hela ukitaka pisi mbovu unaweza wala kawaida tu
By katibu wa pablo franco mzee wa pira madrid simba
 
Sasa hivi hatujisifii kuwala mademu....mbona kila mtu anawala? hata mbwa hajisifii kumla mbwa mwenzie......swali labda liwe je, mnapima afya kabla? unapiga bao ngapi za mfululizo?, mnaridhishana? nk...
 
Duuh msaani mwenyewe ndo wewe na hapo uko underground hujatoboa ila ndo unawaza ivooo, mkuu ebu badilisha mtazamo wako kbsa kwa mwendo huo hutoboi vitu vingine kwenye maisha ni vya kawaida tu hata siyo vya kuwazia kbsa hasa wanawake na starehe, Ebu tafuta kitu ambacho huna au pambana ili kufika unapotaka wewe siyo hapo ulipo
 
Duuh msaani mwenyewe ndo wewe na hapo uko underground hujatoboa ila ndo unawaza ivooo, mkuu ebu badilisha mtazamo wako kbsa kwa mwendo huo hutoboi vitu vingine kwenye maisha ni vya kawaida tu hata siyo vya kuwazia kbsa hasa wanawake na starehe, Ebu tafuta kitu ambacho huna au pambana ili kufika unapotaka wewe siyo hapo ulipo
Pamoja mkuu kwa kunipa ushauri mkuu nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom