Nyie mnaolazimisha watu waoe someni

Nyie mnaolazimisha watu waoe someni

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,440
Mimi Zee Korofi nina dada yangu, aliolewa na jamaa mmoja aliekuwa anamuhudumia vizuri tu na sometimes alikuwa anahudumia home katika special occasions za isaues fulani fulani.

Sasa alipata bwana wake wa zamani hukooo, wakaanza kudate tena na uyu shem alikuwa mpole mno, hakua mchoyo wala bahili, basi dada siku moja alikomba kila kitu na kwenda kwa hawara, kumbuka mahari alishatolewa ya kutosha hapoo, na walikua na mtoto 1

Ikafika wakati shem ameshtaki home kikao kimeitishwa, dada anasema wazi wazi
"Simpendi nilipenda hela zake", nakumbuka shem alitoa mchozi kabisa[emoji24][emoji24]

Nilichoumia ni kua hakustaili kufanyiwa haya, alitimiza wajibu kama baba na alikua na upendo. Shida ilianza alipoanza kuyumba kiuchumi, hapo ndio balaa likaanza

Dada alikuwa akimjibisha hata mbele yetu na kumkejeli, ikafika wakati shem alikuwa akikaa peke ake analia kabisa michozi, alikuwa anajutia ndoa yake,.kwa sasa wameachana na dada ndie alietaka waachane baada ya kuona shem hana hela kama mwanzo!!!!! Kwa hiyo:

THUMBS UP TO MR. LIVERPOOL, SITAKI KUOA. NIMESHA- EXPERIENCE!!!!
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji119][emoji119][emoji119]
 
This is Liverpool
Yeah the home of liverpool
cc Liverpool VPN
images (4) (4).jpeg
 
Tofauti dada yko anavuta moshi....

Padri akilala na sister haibadili ukatoliki...
 
Hutakiwi kuishi kwa kuangalia maisha ya watu wengine bali unatakiwa kuishi wewe kama wewe.
 
We Fanya vile moyo wako na nafsi yako na akili yako inataka, ukiridhika inatosha
 
Kila mtu ana uamuz wake binafsi, na s kwamba unachoamua ww n sahihi au s sahihi kwa kuwa kuna wapo waliyo kinyume nawe.


Muhimu n kuheshm uamuz wa mwngne, wee hautaoa lkn wengne wataoa yapasa uheshm maamuz yao ..........na pia tujaribu kujifunza kwa waliyofanikiwa.
 
Back
Top Bottom