Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mahusiano mengi huvunjika kutokana na kutokujua sababu iliyompelekea mwanaume/mwanamke kuwa kwenye mahusiano. Wapo walioanzisha uhusiano kwa malengo yafuatayo,na wengi wao uhusiano wao huwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini za humu JamiiForums ....Kwanza kabisa nitoe angalizo sihitaji matusi au kejeli... Ipo hivi mimi ni kijana umri wangu miaka 25 ni mhitimu katika chuo Kimoja hapa hapa Dar es Salaam...
2 Reactions
92 Replies
7K Views
Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl' Kutokana na uzuri wa mtoto, najikuta nahudumia tu bila kuchoka ila nilichojifunza, wengine wanatelekeza uzao wao kutokana na changamoto za kutoa 'product'...
6 Reactions
82 Replies
7K Views
Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na...
29 Reactions
89 Replies
10K Views
Habari wanaMMU.., Kuna msichana tupo katika dating sasa tumefikia makubaliano ya kufunga ndoa tujenge familia ya watoto kadhaa changamoto iliyokuwepo ni huyu mwenzangu anataka tuishi tu hivihivi...
2 Reactions
62 Replies
11K Views
Annastazia. The woman I truly loved but due to some reasons we parted our ways she deeply hurt me after cheating on me and later got married to another man. I got traumatized for years and tried...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Juzi nilikuwa club na rafiki zangu tunapata beer mbili tatu. Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6, kwa bahati mbaya nilichelewa kurudi, nilirudi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hope wote ni wazima, tuendelee kuchukua tahadhari kujikinga na janga la covid-19 kwa kunawa mikono kwa maji tiririka, kuvaa barakoa, kutumia vipukusi pale ambano si rahisi kunawa na ku-keep social...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Habarini wandugu Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu kwa ukarimu upendo na undugu uliopo baina yetu japo wengi wetu hatufahamiani lakini tumekuwa tukisaidiana hususan kwa ushauri...
16 Reactions
213 Replies
19K Views
ninawazia sana wanangu wa kike. Je niwalee kwa misingi ipi. Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha? Nitaweza? Nitawezaje? Inamaana nikishindwa na wanangu wataomba pesa kwa wanaume kumi Vipi...
13 Reactions
54 Replies
4K Views
Napenda sana slim girls (English figure), nilipokutana nae alikuwa mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahipsi hipsi na mwili sana, I like models but inaonekana ana asili ya mwili...
13 Reactions
122 Replies
13K Views
Wazima wa afya? Natumai ni wazima, wakubwa zangu shikamoni, najua kuna wazee wa heshima humu. Katika kutoka kimapenzi na wasichana, na siku hizi vibinti vinakuwa vinahamasisha kuliko hata watu...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi...
3 Reactions
109 Replies
18K Views
Amani iwe nanyi. Siku kadhaa hivi nilikuwa na safari, nikatumia usafiri pendwa wa ndugu zetu Waha. Nimefika station nasubir gariMoshi hatiMae likawasili, nikaingia kwenye behewa langu pamoja na...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Habarini, shikamoni na poleni kwa majukumu. Refer the heading above, naanza na visa viwili au vitatu kulingana na mada tajwa hapo juu. Kisa Cha kwanza. Kipindi Niko advance nilifahamiana na dada...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf? Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini? Embu twende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo...
14 Reactions
105 Replies
12K Views
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote. Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo...
26 Reactions
146 Replies
9K Views
Naitaji mwanamke huru wa kuchart nae ku shair nae story free. Naitaji mwanamke mjanja mwenye mbinu na anae jua hesabu ili kukokotoa changamoto. Napenda nipate mwana dada ambae yuko tayari...
12 Reactions
169 Replies
8K Views
Kama ilivyo ada ni swala la kawaida kwa karne ya 21 watu kutongozana msela au mtoto mzuri anakufata na kukuambia anakupenda anahitaji kuwa muwe wapenzi, Pale ikitokea mtu ambae unamtaka muwe...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Habari za weekend kakaz na dadaz? Anyways ngoja niende kwenye swali Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi hivi ni kwanini wanawake inakuwa rahisi sana kwao tena wanaona kawaida kuwa na urafiki na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…