Demu wangu kanikata stimu kinyama yaani...

Demu wangu kanikata stimu kinyama yaani...

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,365
Hope wote ni wazima, tuendelee kuchukua tahadhari kujikinga na janga la covid-19 kwa kunawa mikono kwa maji tiririka, kuvaa barakoa, kutumia vipukusi pale ambano si rahisi kunawa na ku-keep social distancing as much as possible (by any means necessary.)

Baada ya utangulizi straight to the topic,

Ebwana eeh juzi kati nilifanikiwa kwenda faragha na manzi mmoja ambae nilikua namfukuzia long time kitambo. Sasa baada ya kutoka faragha akanipigia simu na kuniambia "baby kuanzia leo nafuta kauli ile iliyozoeleka" nikajiuliza nini tena anaongea huyu!? Anyways nikajikaza nikamuuliza "kauli gani baby"!? nae akanijibu "kuanzia leo nafuta kauli kwamba watu wanene wana vibamia" kimoyomoyo nikajisemea "heeeeeeeh asalaaaaleh".

Kilichoniudhi mpaka kusema kanikata stimu ni kitendo cha sisi kwenda faragha kupeana pleasure kumbe mwenzangu alikua na agenda ya pili na ya siri "KUFANYA UTAFITI WAKE USIO RASMI". Ila sio mbaya atapeleka ujumbe kwa mashoga zake kua kuna watu wengine wana miili mikubwa ila wana MKUYENGE kama mguu wa mtoto.

Nawasilisha.
 
Corona inawalenga sana mabonge.Kufanya ngono enzi hizi za Corona ni kutafuta kifo cha kukosa pumzi kupitia Corona!
maisha yenyewe mafupi haya bro, vunja mfupa wakati bado meno ipo
 
Back
Top Bottom