Morning. Naombeni ushauri wenu kidogo wakuu..
Mimi ni kijana first born kwenye familia ya watoto 5. Wanaonifuata ni vijana walio juu ya miaka 18 mmoja wa kiume anaenifuata na wa kike. Huyu wa...
Duh...nitazini hadi lini? Mwisho wa siku nitakuja kukanyaga mawaya Bure, nataka mke jamani,nipo extremely serious nataka mke mie jamani.
Sifa
Awe kutoka kabila lolote na Taifa lolote Duniani...
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto
1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii...
Wanaume uwa tunakutana na aina hii ya wanawake.
Unamtongoza lakini asemi Hapana wala asemi Ndio. Mnawasiliana vizuri pengine unaweza dhani soon unakula tunda. Lakini upewi chochote. Sometimes...
Mnaendeleajee ndugu zangu na maandalizi ya sherehe za mwisho na mwanzo wa kiume mwaka? Kwa wale ndugu zangu Wasabato na Waislamu tunaitazamia Mwaka mpya kama Niko sahihi.
Shalom,
Kumekuwa na...
Mnaendeleajee ndugu zangu na maandalizi ya sherehe za mwisho na mwanzo wa kiume mwaka? Kwa wale ndugu zangu Wasabato na Waislamu tunaitazamia Mwaka mpya kama Niko sahihi.
Shalom,
Kumekuwa na...
Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura.
Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na...
Habarini za wakati huu wakuu, mimi nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka sasa na tumebahatika mtoto mmoja.
Sasa kilofanya niandike uzi hapa ni kwamba mume wangu anapenda sana ku-hang out na marafiki...
1. Utaua ndoa/uhusiano wako kama muda wote utakuwa mlalamikaji kwa mwenza wako na kutafuta mtu wa kumlaumu kila wakati. Huwezi kutatua tatizo kama huchukui hatua ya kuwajibika na badala yake ukawa...
Habari zenu wakuu,
First time na get uroda.
MCHIZI ile naingia form one nikakutana na demu nilie Soma nae la kwanza mpaka la nne huko Kenya yeye akaamishwa tukaja kukutana hiyo Tanzania form one...
CHURA ndio tatizo kuu la maisha yangu, hunitoa kabisa kwenye mipango yangu yakimaisha. naweza kuvumilia chochote lakini si mwanamke mwenye chura. Akili yote huvurugika nikaishia kufanya mambo ya...
Katika maisha ya kila siku hakuna kitu muhimu kwa binadamu kama mahusiano yawe ya kimapenzi au rafiki au ndugu. Sasa ili kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa karibu kuna baadhi ya maswali ya...
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home...
Mwishoni mwa mwaka jana muda kama huu nilipata msichana nikafahamiana nae na kufanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza na kupata ujauzito.Alinitafuta ili anipe taarifa bahati mbaya sikua hewani kwa...
Habari wakuu mm nisingependa kuwachosha naomba niingie moja kwa moja mada husika:
Mwaka 2020 mwezi wa kwanza nilitongoza kadem( 20 age)ka mtaa ambapo nilikua nafanyia biashara zangu, wakati ndo...
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini...
Wakuu habari.
Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili...
Hii sio sawa, sijakubaka nimekuomba na ukakataa, Sasa kwanini unitengenezee uadui na mtu wako! Tukidhuriana wewe utapata faida gani? Kuweni makini sana mkitongozwa msiwaambie watu wenu mtakuja...
Ndugu zangu hapa nipo hatua za mwisho kuvuta kitu kipya, kinachonifanya niwe na furaha kupitiliza ni hii issue ya mashemeji/ mawifi zenu kila mmoja ameridhia kwa dhati wote watu tumie master room...