Hivi mliooa na mnaoendelea kuoa mlipata/mnapata vipi hao wake mpaka kuoana? Mbona mimi sipati? Yaani hata girlfriend sina kama ambavyo watu wengine wanao.
Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?!
Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa...
Binafsi linapokuja suala la kudate nachagua sana... Naanza kukagua hadi kucha na vidole... Na mambo mambo mengi. Nmepata uzoefu mkubwa kwa jamaa zangu kwa type hizi za wanawake.
1. Usioe mwanamke...
Photo: Getty
Knowing when to break up with someone is, undoubtedly, one of the most difficult decisions you may ever have to make in a relationship.
Knowing how long to stay and when to go is a...
Habari JF
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa
Tangu nimeoa napata...
Observation fupi iliyofanyika inaonyesha kwamba wanaume wanapenda zaidi wanawake wa dhehebu la kisabato.
Sababu hasa baadhi ya wanaume Wanadai ukiwa na demu wa kisabato unakula kitu natural...
Ni safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana...
Habari
Niende Moja kwa Moja Kwenye Lengo La huu Uzi. Kuna Mauaji Yanaendelea sana Hapa Duniani hata Nchi Yetu Ya Tanzania Imeshuhudia Mauaji Haya Yakitokea Nchi kwetu.
Baada Ya Mauaji Haya...
Hivi ule wakati wa kung'onoka unajikuta mtu unasugua weeeee na mwanamke anakusaidia tena hadi dakika 30 - 45 Ila bado hupati product yoyote..tena mpaka demu analalamima amechoka au unataka...
Nilikuwa natembea barabarani mara paaap mbele yangu kama mita 30 hivi wakajitokeza wadada watano wako pamoja wanakuja uelekeo wangu yani mimi naenda kwao na wao wanakuja kwangu. Basi kidume...
Nliambiwa na mtu niingie chumvini. Sikumwelewa "mashokoro mageni" nikawa tu naendelea na mambo yangu akanishika kichwa na kukielekeza huko ...sikuelewa. akanambia lamba chumvini
Hapo akanikata...
Nakaribia umri wa kuoa ila nina kitu kimoja, kila nikiwa na wazo la kuoa akilini inakuja picha ya mkono wa mke wangu umebana korodani kwa nguvu, haya ni mawazo yangu, mara najiuliza je nikimwagiwa...
Wakuu kwema?
Mimi nikianzisha mahusiano na mwanamke ni ngumu sana kuniacha yaani mpaka nawaoneaga huruma kabisa wakati mwingine maana kuna wengine wanakuambia mimi sibabaishwi na mwanaume alafu...
Igweeeeeeeee,
Wadau tupeane machimbo yenye watoto classic tukale bata siku ya christmas hapa jijini dsm na pia ndugu yenu na dozi za vimelea vya vidonda vya tumbo nilipima juzi kati.
Kinywaji...
Salamu wana JamiiForums
Baada ya salamu acha niende kwenye mada husika kama kichwa kinavyo sema hapo juu. Kuna siku nilikuwa naongea na rafiki yangu dukani kwake akatokea mtu mzima akasema:-...
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi, Uwa...
Haya mafuta yana nafasi gani katika kupunguza uwezekano wa kupata magojwa ya STD ukiunganisha Ukimwi?
All i knw ni kwamba hasa yanalainisha na kupunguza michubuko sehemu za siri.
Kingine...
bila shaka wakuu mnaendelea na kazi kama mama anavyosema
huyu mchumba nilimtongoza mwezi wa kwanza akawa amenikataa kwa herufi kubwa, basi kulingana uzuri wake na hadhi yangu nikahisi madaraja...