Mwanamke akinipenda mimi ni kosa kubwa sana

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
968
1,062
Wakuu kwema?

Mimi nikianzisha mahusiano na mwanamke ni ngumu sana kuniacha yaani mpaka nawaoneaga huruma kabisa wakati mwingine maana kuna wengine wanakuambia mimi sibabaishwi na mwanaume alafu mwisho wa siku anakua mnyonge sana kama Sio yeye vile.
 
Wakuu kwema?

Mimi nikianzisha mahusiano na mwanamke ni ngumu sana kuniacha yaani mpaka nawaoneaga huruma kabisa wakati mwingine maana kuna wengine wanakuambia mimi sibabaishwi na mwanaume alafu mwisho wa siku anakua myonge sana kama Sio yeye vile.
 
Una nyumba nzuri? Gari? Unatoa pesa nzuri au ni mtu maarufu? Jibu haya mkuu, wataalamu tukufungue akili.
 
Back
Top Bottom