kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,025
- 15,810
bila shaka wakuu mnaendelea na kazi kama mama anavyosema
huyu mchumba nilimtongoza mwezi wa kwanza akawa amenikataa kwa herufi kubwa, basi kulingana uzuri wake na hadhi yangu nikahisi madaraja yetu yameshiriki katika kunitengenezea kibuti. nikaona isiwe kesi nikafuta namba maisha yakaendelea, siku za hivi karibuni nilikutana nae katika pilika pilika zangu mjini, akawa ameniambia mbona siku hizi simtafuti, nikamdanganya kuwa niliibiwa simu na kupoteza namba yake hivyo akawa amenipa tena namba yake, kumkumbushia akatia ngumu kidogo lakini safari hii aliniambia mengi na kunijuza kuwa amekuwa akiwaza ni jinsi gani atanipata kwani alivyonijibu vibaya alibaki na sononi moyoni na hakuwa na jinsi ya kunipata aniombe msamaha kwani hakuwahi kuisave namba yangu,
basi mzee baba nikajitutumua nikamualika kwangu (geto) hakuwa na tatizo akaniahidi atakuja, sasa balaa likawa alipofika nikaanza kutia mbwembwe za mahaba kumchekesha na vitu kama hivyo, ilipofika hatua ya kupiganga mito, mjuba nina mto mmoja wa kulalia ila tukawa tunapeana shift, akinipiga na mimi nampiga kwa mahaba mambo yakawa mswano.
shetani akajitokeza katika kupigana mto, nilimpiga moja heavy akaenda chini, binti aliinuka akiwa amekaskrika akajiweka sawa na kuondoka huku jumbe zilizoniacha na fedheha moyoni mwangu zikifuata.
haya mambo ya kishua sisi wavunja kokoto hayatufai kabisa.