Namna ya kupata mke

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
19,948
25,170
Hivi mliooa na mnaoendelea kuoa mlipata/mnapata vipi hao wake mpaka kuoana? Mbona mimi sipati? Yaani hata girlfriend sina kama ambavyo watu wengine wanao.
 
Penye uzia penyeza lupia mkuu
Nenda kwa maostazi watakupa dawa ya mvuto wenyewe watajileta
Utaanza kuona anakatiza mbele yako huku anatingisha wowo basi ukiona hivyo chapu omba namba na akikupa namba mpigie umtoe out hukohuko unaenda kuhitimisha
 
Back
Top Bottom