Usikubali Kuwa/ Kuoa Mwanamke wa Dizaini Hii Ni Majanga

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Binafsi linapokuja suala la kudate nachagua sana... Naanza kukagua hadi kucha na vidole... Na mambo mambo mengi. Nmepata uzoefu mkubwa kwa jamaa zangu kwa type hizi za wanawake.

1. Usioe mwanamke anayejichubua - huyu ni wazi hajiamini na hana akili. Usijali hata kama ana masters.achana naye atakusumbua huko mbeleni kadri anavyozidi kujichubua na akili yake inazid kupungua.

2. Mwanamke ambaye ukimwambia nitumie video au picha ya K yako anakutumia.... Huyo mkimbie...ni Mpumbavu ,zumbukuku na pia dhaifu sana. Akishakutumia tu.delete alichotuma na namba yake.hana akili.

3. Mwanamke anayevaa wigi... Huyu mcheck check kwanza. Kama haziamini nywele alizopewa na Mungu anataka fake...unadhani ana kitu halisi?hajiamini. mpime kwanza.

4. Ukiwa una date mwanamke akitembea anatingisha BIRIANI (MAKALIO) achana naye huyo.usio...atakuwa anauza Biriani...(kinyume na maumbile) hana akili mbumbumbu,dhaifu.

5. Ukimjaribu mwanamke akakubali kukupa ( 0 ) achana naye huyo. Mbumbumbu hana akili.hata kama atakupa huku analalamika kuwa huo mchezo mbaya hajawah ila kwa kuwa hataki kukupoteza basi chukua...achana naye... Mshenzi,mbumbumbu, zumbukuku hali yake ni dhaifu.

6. Achana na mwanamke ambaye yeye anatanguliza shida zake na wakati unemwambia mama yako au mdogo wako anaumwa yeye anakwambia anaomba pesa ya saluni. Huyo pumbavuh na ana roho ya kishetani usioe.

7. Msichana ambaye anatukutumia porno huyo usioe ..ni lijinga hilo halina akili.

8. Msichana ambaye wewe unaangalia naye porno hana akili kama wewe mwanaume ulivyo huna akili.usioe huyo maana mtakuwa mbumbumbu times au square. But pia unapaswa mwanaume uoe mwanamke mwenye akili. Makalio huwa yanaisha.sasa wewe sema unataka Tako.

9. Ukiona mwanamke yupo team zile za wasanii ...sijui team siwema...achana naye kilaza huyo,mbumbumbu hana akili.

10. Ukiona mwanamke hana ndoto au ana ndoto anategemea mwanaume atimize ndoto yake.mdate tu ukifika wakati wa kuoa katafute mwingine.

NYONGEZA TOKA KWA WADAU.
11 mwana mke anae kua na vikoba usioe atakusumbua siku zote mkose hata chakula ndani kisa malejesho ya kikoba.

12. Mwana mke anae kusimlia wapenzi wake wazamani achana nae kabisa huyu ni boya hana lolote.

13. Mwana mke anaye waza wazazi wake kila dakika achana nae huyu hana mapezi kajatu kukupotezea mda.
 
Uko sahihi sana mkuu,ngoja nimtumie link huu uzi...wacha anune tu.
 
Anatingisha biriani au atakuwa anatoa biriani...😂😂😂😂😂😂
 
Kijana unapoamua Kuoa/kuingia ktk mapenzi Jitahidi kuchagua msichana mwenye sura nzuri na umbo la kukuvutia.

Usiangalie tabia yake,,,,tabia inarekebishwa bila shida yeyote
 
Pia mwanamke mwenye tamaa mfano kupenda kuvaa vitu vya gharama kubwa kama vile simu, mavazi n.k kuliko uwezo wake huyo hafai kuoa atakuwa anakupa stress pale ambapo utashindwa kumtimizia kwa kuzingatia siyo mahitaji ya msingi maisha hubadilika!
 
Mwanamke mwenye kupenda mitoko ya mara kwa mara huku akilazimisha bila kujali kwamba ipo haja ya ku save pesa kwaajili ya maendeleo ya familia lakini hajali wala nini huyo nae usifanye haraka kufikiria kumuoa
 
Back
Top Bottom