Kama nilivyoanza hapo kwenye title. Age is just a number.
Natafuta mwanamke ambae tutaanzisha mahusiano kwa mlengo mmoja tu, tuje tufunge.
Umri mie nakubali wowote ule kuanzia 18 - 40.
Kwanini ...
Ni kijana wa umri wa 27
Elimu: degree
Dini: mkristo
Makazi: dar es salaam
Kazi: kujiajili, wakala wa Tigopesa na kusajili lines
Anayehitajika
Elimu: form 4 mpk darasa la 7
Msichana umri chini ya...
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu
Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.
Demu akachukua...
Kuna matajiri wakubwa wanahaha kwenye nyumba za waganga na wauzaji wa madawa ya kienyeji kusaka nguvu za kiume, wanamwaga hadi mamilioni wakipewa madawa ya uwongo na ukweli lakini wapi bado ni...
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.
Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada...
Habari za saa hizi wakuu kuna demu nimeotea bhana sasa simwelewi leo ni mara ya pili nampeleka gheto tunafanya romance fresh ikifika wakati nataka kuanza tafuna mbususu anazima anapandisha...
Ety mdau, ushawahi kupata demu ambaye anajitoa kwako hata kwa kidogo alichonacho kukufurahisha au kukusuprise mpenzi wake.
Binafsi sijawahi kubahatika kupata Demu ambaye ana mahaba na mimi kana...
Women are desperate for high status Alpha males, just like some men are desperate for young, beautiful women.
The more money you have, the more social status you have, chicks flock to you, ama...
Wakuu habarini A muda huu, nina jambo moja linalonitatanisha.
Hapo nyuma, miaka mitano iliyopita, nilikuw katika mahusiano na mdada mmoja kipindi nipo shule, ila yeye alikuwa hasomi, mahusiano...
Ndoa ikikushinda ukiwa na kipato cha wastani usitegemee kuiweza ukiwa umetajilika, kwa mazingira ya kazi yangu ni meshuhudia migogoro mikubwa ya familia kwa kiasi cha kuuana inatoka kwa familia...
Sijui ni kwanini malaika wote huchorwa wakiwa ktk maumbile ya kike, japokuwa inadaiwa kuwa hakuna mwanamke malaika.
Yaani Mungu wetu anao malaika wa kiume tu, hana wa kike hata mmoja. Lakini...
Naumia mno, sikuwahi kufikiria hiki kitu, nilipata msichana mmoja ambaye nilianza naye mahusiano mwezi wa sita, huyu ni mkazi wa kwa mworombo, alikuwa mbabe sana na tabia za kutokubali kushuka...
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi...
Nilikutana na dada mmoja nilisoma nae ameolewa na kuachika mara nne na sasa yuko kwenye ndoa ya tano!
Shida ilianza pale nilipo muuliza mumewe mzima! yeye naye aliniuliza yupi ninayemzungumzia...
Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli?
Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya...
Mliooa wanawake ambao tangu awali wamewazidi kipato. Je, wanamaintain heshima mliyo nayo kama waume zao?. Je,wapo consistent katika hili au tia maji tia maji?. Nitafurahi kujifunza kutoka kwenu...
Nahitaji mwanamke aliye serious kuingia kwenye ndoa takatifu awe na sifa zifuatazo
1. Umri usizidi miaka 29
2. Awe mkristo au tayari kubadili dini na kuwa mkristo
3. Awe anajishughulisha na...
Jamani Mimi sio feminist ila kwa hili hapana hata Kama Hawa wanawake ni wapuuzi wakati mwingine ila bado tunawahitaji.
Jaman Kama kuongea juu yao tumeongea Sana ila wamegoma kubadilika kilicho...