Nahitaji mke

Msawazo

Member
Nov 10, 2018
46
141
Nahitaji mwanamke aliye serious kuingia kwenye ndoa takatifu awe na sifa zifuatazo

1. Umri usizidi miaka 29
2. Awe mkristo au tayari kubadili dini na kuwa mkristo
3. Awe anajishughulisha na shuguli yoyote ya kumuingizia kipato. Na kama hana basi angalau awe na kiwango cha elimu angalau kuanzia diploma
4. akiwa mrefu kiasi sio mbaya
5. Kabila siyo kigezo kwangu
6. asiwe na mtoto

Kwa upande wangu. Ninaishi Dar pia nina kazi yangu inayoweza kuniingizia kipato, kuhusu swala la kuendesha familia kwa kipato changu sio tatizo.

kama una sifa hizo au zinazokaribiana na hizo karibu dm au kama una binti unamfahamu pia karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom