Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,711
Jamani Mimi sio feminist ila kwa hili hapana hata Kama Hawa wanawake ni wapuuzi wakati mwingine ila bado tunawahitaji.
Jaman Kama kuongea juu yao tumeongea Sana ila wamegoma kubadilika kilicho Baki ni kuwaaombea na kuwakabidhi mikononi kwa muumba ashughulike nao. Maana hata tukiwasusa bado watoto wetu watahitaji maziwa yao ili wawe na afya njema kiakili na kiroho, Sasa vyote hivi tutavipataje endapo tutakua na jamii yenye wanawake wengi wasio jielewa na kujitambua......?
Kifupi Jana nikiwa nimetoka mishe Mimi na jamaa yangu pembeni kwenye kamkokoteni ....jamaa akaniuliza umewaona madada wanao jiuza nikastuka kidogo wako wapi akasema wale tumesha wapita ...kusema ukweli maishani mwangu sijawahi waona wadada wakiwa wamejipanga mstari barabarani wakiwa wanajiuza zaidi ya kwenye picha na kusoma humu mitandaoni kuwa wanawake wanajianika road wanauza ....nikamwambia jamaa haiwezekani ngoja leo nishuhudie Basi tuka geuza aisee ....aiseeee.. jamani Hawa watu wanahitaji maombi na mfungo maana sio kwa ile Hali yaani wanahitaji ukombozi mkumbwa Sana maana Hawa ndio wanao tuzalia na kutulelea wanetu tusiwasuse jaman Hawa ni ndugu zetu bado tunawahitaji Sana . Kama kweli tunahitaji jamiii imara.
Najua Kuna malofa humu watakuja na justification kuwa hii biashara ipo enzi na enzi sawa ipo enzi na enzi lkn Kuna ulazima gani wa sisi kuendelea nayo ....? Kwani hatuwezi kuishi kivyetu tofauti na enzi hizo mnazo sema.....?
Embu fikiria ni wanawake wazuri tu kimuonekano ambao naamini kwa uzuri wao wakifungua biashara hata ya kupika uji tu lazima iwe na wateja na wakajibatia kipato Chao na kumpendeza Mungu kuliko kufanya Yale.
Alafu ilikua ni mida ya saa moja jioni yaani wanaume kutoka huko waliko tokaa wakamwage takataka zao ...vibaka,walevi,waganga,wenye magonjwa, wachawi ,yaani wote Hawa watoke waliko toka waje wakutumbukize madushe yao aisee huo utakua uzazi kweli.....? Kwenye huo uzazi mtoto atakaye toka hapo atakuaje .....?
This wanawake they in hard situation they need help for real.Na Kama ni mwanamke unafanya hiyo biashara kwa just tamaa tu ya pesa ulaaaniwe.