Nasikitika nimempiga makofi mwanamke jana!

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Naumia mno, sikuwahi kufikiria hiki kitu, nilipata msichana mmoja ambaye nilianza naye mahusiano mwezi wa sita, huyu ni mkazi wa kwa mworombo, alikuwa mbabe sana na tabia za kutokubali kushuka. Alikuwa anapenda starehe sana hivyo tulikuwa tukikwazana kila mara.

Jana nimekwenda hostel kwao namkuta anakunywa na wahuni, namuuliza ananiambia ni kaka zake wa huko Chugga, nikawa namuelekeza nikiwa nimemvuta pembeni kwa sauti ya chini.

Asianze kunitukana nini? Na wale wahuni wakawa upande wake, nikajikuta nimejawa na hasira, nikamzaba makofi pale pale, kwani alikuwa anatukana hivyo plus pombe.

Baadaye nikaamua kuamsha zangu ghetto kutulia. Alivyo hana aibu leo asubuhi ananiomba msamaha, kasahau matusi yote. Ila wale wahuni nimewa mind, nitawatafuta!
 
Sasa hata Kofi ulompiga analikumbuka?.

Kama anakumbuka alichokukosea, basi jua kwamba alijifanya kalewa ,ili kukuolea mbovu !!

Sema nn... Kwan ni wakuoa??? Kama sio wa KUOA, samehe, kamyaga twende.

Usiwe serious sana !!
 
Naumia mno, sikuwahi kufikiria hiki kitu, nilipata msichana mmoja ambaye nilianza naye mahusiano mwezi wa sita, huyu ni mkazi wa kwa mworombo, alikuwa mbabe sana na tabia za kutokubali kushuka. Alikuwa anapenda starehe sana hivyo tulikuwa tukikwazana kila mara.

Jana nimekwenda hostel kwao namkuta anakunywa na wahuni, namuuliza ananiambia ni kaka zake wa huko Chugga, nikawa namuelekeza nikiwa nimemvuta pembeni kwa sauti ya chini.

Asianze kunitukana nini? Na wale wahuni wakawa upande wake, nikajikuta nimejawa na hasira, nikamzaba makofi pale pale, kwani alikuwa anatukana hivyo plus pombe.

Baadaye nikaamua kuamsha zangu ghetto kutulia. Alivyo hana aibu leo asubuhi ananiomba msamaha, kasahau matusi yote. Ila wale wahuni nimewa mind, nitawatafuta!
Jiandae kwa kuchomwa visu
 
Na hapo cha kukushauri mkuu, hao wauni unashare nao huyo demu. Si rahisi demu alewe kiasi hicho then aende kulala alone.
 
Naumia mno, sikuwahi kufikiria hiki kitu, nilipata msichana mmoja ambaye nilianza naye mahusiano mwezi wa sita, huyu ni mkazi wa kwa mworombo, alikuwa mbabe sana na tabia za kutokubali kushuka. Alikuwa anapenda starehe sana hivyo tulikuwa tukikwazana kila mara.

Jana nimekwenda hostel kwao namkuta anakunywa na wahuni, namuuliza ananiambia ni kaka zake wa huko Chugga, nikawa namuelekeza nikiwa nimemvuta pembeni kwa sauti ya chini.

Asianze kunitukana nini? Na wale wahuni wakawa upande wake, nikajikuta nimejawa na hasira, nikamzaba makofi pale pale, kwani alikuwa anatukana hivyo plus pombe.

Baadaye nikaamua kuamsha zangu ghetto kutulia. Alivyo hana aibu leo asubuhi ananiomba msamaha, kasahau matusi yote. Ila wale wahuni nimewa mind, nitawatafuta!

Kwa Tabia za wanawake wa Arusha na hao wahuni basi jiandae kuchomwa visu vya tumbo kama hutochukua hatua ya kuachana na huyo mwanamke! Kama utaendelea kumpiga lazima siku watakuchoma visu wakishirikiana na huyo mwanamke!
 
Back
Top Bottom