Hakuna Asiyejua hili Neno kila mtu analifahamu na tunalitumia Kila siku na Tunaishi Nalo na Lipo kwenye maisha yetu ya Kila siku.
Ulishajiuliza ni kwa nini Facebook wamelichagua neno hili na si...
Hello wakuu humu.
Kwanza mimi napingana na ule usemi unaosema ukiniona wa kazi gani tabua yupo anayesema atanipata lini...iko hivi katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi ambayo ndio yanaleta...
Ushauri wenu jamani,
Mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _
jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama...
Habari,
Leo naomba msaada maana nimekutana na mtu akaniambia anadawa ya LIBWATA kwa wake za watu yaani mkeo hapindui wala hawezi kukusaliti hata utumbuliwe na magu bado atakua nawe,
Hoja ni...
Watoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi.
Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo...
Wakuu, Amani kwenu nyote.
Iko siri kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa huamua hatma ya mtoto wa kike. Ili kuifahamu tumtazame kwanza kijana mume:
Mwanamume
Kijana mume huanzia chini katika...
Ndugu wanajukwaa pendwa Leo hii nimeona niwatajie baadhi ya faida na umuhimu wa shawaha kwa mwanamke kama ifuatavyo...
(1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa...
Nadhani wengi wetu tumeshaisikia theory ya “survival for the fittest”, well leo niko hapa kukuonyesha ni kwa namna gani inavyoongoza maisha ya binadamu na viumbe vyote hapa duniani.
Kwanza kabisa...
Akuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe
Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu...
Naamini mme hupatikana popote Mimi ni mama wa mtoto mmoja. Naishi mkoa wa Iringa hivyo nimeona nitafute mtu wa mikoa ya karibu ili iwe rahisi kuonana. Sifa za mme awe hana mke. Awe na miaka 35 na...
Ni hivi!
Huyu ni shemeji yangu alimuoa dada na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa...
Kama nitakuuliza nini unachohitaji kwenye maisha yako? Na ukasema kitu kama, napenda kuwa na furaha,familia bora, na kazi ninayoipenda.majibu yako ni yakawaida yaliyo zoeleka na hayana maana...
Salute bosses! Kuna muda nachanganyikiwa.
Nasikia kilio kwa mbaaaali kutoka kwa me wengi mara oooh wanawake wamekuwa opportunistic, wanapenda hela n.k. Najishangaa sana mimi, na miaka hii 28 ni...
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata...
Habari?
Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU...
Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA).
Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko.
Hii ndiyo Afrika sekta zote ni...
Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara.
Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama...