Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sasa ni zamu ya moyo wangu,maana figo na mapafu ulishaviteka! Penzi lako ni kama hewa safi ya oxygen, inayopita katika viunga vya mwili na kuupa uhai uliotukuka! Ucheshi na ukarimu wako ni tuzo...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Tumekuwa tukiwasema sana masingle mother kwamba wakikutana na wazazi wenzao huwa wanapasha kiporo hata kama ameolewa kwingine. Mimi katika uchunguzi wangu ukweli ni kwamba mwanamke yeyote...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Hii ni independent study yangu. Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za siku nyingi wana MMU? Nisipoteze muda nije kwenye mada kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana, namfahamu kama miaka minne iliyopita lakini sikuwahi kumtongoza na wala hatukuwa na mazoea...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ijumaa Kareem! Moja ya sababu zinazofanya mwanamke amuache mwanaume kimahusiano ni pamoja na "kutoeleweka Kwa Mwanaume". Bila Shaka ulishawahi kusikia Kauli Kama hizi Kwa wanawake, wakisema...
16 Reactions
63 Replies
7K Views
Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki...
4 Reactions
64 Replies
7K Views
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti. Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao...
13 Reactions
94 Replies
8K Views
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi Wa TAIFA letu Rejea mada apo juu: #Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick# Usku wa...
25 Reactions
228 Replies
41K Views
Nice guys wengi hutokana na malezi, maybe kalelewa na mzazi mmoja wa kike au wazazi wote, lakini baba yake naye alikuwa nice guy, kwahiyo mtoto lazima arithi unice guy. Kutokana na malezi, nice...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana,kila kundi la binadamu huongozwa na tabia tofauti tofauti,hebu chukulia huu mfano,hujawahi kuta kuna kijana ametoka familia ya kitajiri tu yenye uwezo na ana...
12 Reactions
21 Replies
5K Views
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakwenda haraka na...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa. (Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story) Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT...
56 Reactions
426 Replies
48K Views
What is the refractory period? Reviewed by the medical professionals of the ISSM’s Communication Committee After orgasm, both men and women experience a resolution stage called the refractory...
8 Reactions
61 Replies
6K Views
Lilian na Vivian walikuwa majirani, wote wawili wazazi wao walikuwa maofisa waandamizi serikalini. Wote walisoma Kenya shule ya msingi na upili na walikwenda vyuoni Ulaya. Lilian alibahatika...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo. Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu kwema. Kadri siku zinavyozidi kwenda wanawake weusi wanazidi kupungua (hawajiamini yan) Wanahisi weupe ndio dili,wanawake wanaokubali kubaki na rangi zao halisi ni wa vijijini (wale wa...
1 Reactions
14 Replies
849 Views
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu. Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ilikuwa Mlandizi mwanangu nimeopoa demu alikuwa akifanya kazi ofisi fulani ya serikali -- ni mkubwa sana. Basi fuleshi tukatoka Dar mpaka Mlandizi, nikachukua room demu akaja. Mwanangu, demu...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Unakuta haamini Kama kaolewa? Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku? Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo? Au Huwa nimaigizo? Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…