Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakati nipo O level yani form 3 Miaka ya nyuma sanaa!Likizo time nikiwa home tunaishi na ma broo.. wawili mkubwa na mdogo. Pamoja na mzee,mother,madogo watatu na mamdogo zangu wawili! Siku hiyo...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanawake: Fanyeni usafi wa nguo za ndani sio nje tu! Aise ni noma sana! Sitakusahau wewe dada uliyeharibu siku yangu jana. Kuna mudada mmoja nilikutana nae jana barabani, yani ukimwangalia...
4 Reactions
146 Replies
22K Views
Ni matamanio ya kila anayetaka kuingia kwenye ndoa kumpata mwenza mwenye hofu ya Mungu. Hizi ndiyo mbinu za kumtambua mtu mwenye hofu ya Mungu (zimepangwa kwa umuhimu):- (a) Mchokoze/mkorofishe...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Hawa viumbe kwa kweli hawaeleweki wanataka nini Na wanaongoza kwa unafiki/maigizo katika mahusiano Kitu nlichogundua mwanaume nenda kwa demu to.mba kojoa sepa,masuala sijui ya kusimamia...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi sikuwa najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often. Sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa. Nikaona sio...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu.. Poleni sana na majukumu Napenda kuandika ujumbe huu nikiwa na akili zangu timamu..tupo kwenye kushare mawazo kama vijana.. IKO HV Nina mrembo mmoja ambayo nimesoma naye chuo...
4 Reactions
82 Replies
10K Views
Kama kichwa cha maada tajwa hapo juu je kwa mustakabali wa ndoa na familia je maisha hayo yanafaa au yana athari kwenye saikolojia na hisia? Binafsi nimewaza Hilo Jambo nikavutiwa nalo natamani...
9 Reactions
77 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu. Kuna jamaa hapa anafanya kazi katika kampuni ya insurance mjini. Pale anapofanya kazi yeye ni subordinate na ana supervisor wake mwanamke. Jamaa alitokea kumpenda supervisor...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu...
5 Reactions
37 Replies
8K Views
Wasalaam!! Hivi hii kauli inayosemwa na wanawake hasa mkiwa na migogoro eti "nimekuheshimisha unaitwa baba" inakua na maana gani kwenu nyie wanawake!!? Hivi wee mwanamke unapojiona upo juu na...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Aisee kupigwa chini kunauma Sana. X awaletea maharusi zawadi ya Bomu na kuwalipukia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ukute huyo demu alikuwa Sana vya jamaa kabla ya kumbwaga na jamaa kaamua liwalo na liwe tukose wote πŸ‘‡
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MARRIAGE IN SOUTH SUDAN MEANS 4 YEARS OF FREEDOM FOR BRIDE Today we tour the Dinka custom of marriage. Despite payment of dowry that ranges from 100 to 500 cows, women are treated godly. Once a...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Long story short: I am 34 yrs of age Tall Living & Working in Dsm Born in Dsm Bachelor degree Never married Christian (Not much devoted) A kind of a lady am looking forward to be my love...
3 Reactions
3 Replies
940 Views
Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna...
18 Reactions
111 Replies
11K Views
Hii hapa ni kweli?
0 Reactions
5 Replies
872 Views
Hi guys, Mwajionaje na hali? How's weekend outta there? Natumaini mnaendelea tu poa, so am I. Nimejiuliza nikashindwa kupata jibu hivi ni kwanini pale tunapoumizwa na kupatesekea sana ndo pahala...
78 Reactions
1K Replies
57K Views
Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo. Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda...
15 Reactions
111 Replies
8K Views
Hii Ni baada ya kuangukiwa kitu kizito kutoka juu ya shelve na kuumia bega la kushoto na michubuko kadhaa shingoni. Hali Iliyonipelekea kulazwa kitandani kwa Siku 3 hospitali. Sasa Siku ya 1...
28 Reactions
255 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…