livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 970
Habari zenu wakuu.
Kuna jamaa hapa anafanya kazi katika kampuni ya insurance mjini. Pale anapofanya kazi yeye ni subordinate na ana supervisor wake mwanamke. Jamaa alitokea kumpenda supervisor lakini akawekwa kwenye friend zone na huyo bidada.
Alijikaza na kuonesha vitendo vyote vya kumjali na kumpa time anapopata destruction yeyote kazini pale. Siku moja akamueleza bibie kuwa amechoka kuwa friendzoned na kama bidada ataamua urafiki ufe basi sawa ila kwa hapo anahitaji kuwa wapenzi.
Bidada akamwambia yeye anamuona kama kaka kwake, jamaa akala buyu... jioni yale mastress jamaa akaandika tu status "no condition is permanent".
Yule bidada akaview na ku reply... "najua huwezi kuishi bila mimi ila nimeamuaga tuishie tu kuwa marafiki" Jamaa akamwambia, hiyo status haikuhusu wewe, yaani ile kuzuga tu ili asijione spesho sana.
Baada ya miezi kadhaa yule bidada amepigwa tukio zito...yaani bonge la tukio na boyfriend wake. Aliahidiwa kuvishwa pete na boyfriend wake ghafla siku ya tukio kuna dada akatokea akisema ni mke wa huyo boyfriend.
Alikuwa akipata majanga anakimbilia kwa jamaa, huku nako kushapigiwa kimya hakuna kuongea... boyfriend anaulizwa vipi, hana majibu na tukio likafia hapo.
Jamaa alipopata hiyo taarifa kazini, jioni akaandika tena ile status yake "no condition is permanent"
Bidada akamvutia waya jamaa kujiombea msamaha kwa vile alivyompuuzia na kumtolea majibu ya kivivu.
Akajibiwa hiyo status haikuhusu
...
Jamaa akaona sasa zamu ya bibie kuona cha moto.
Yule bibie alivyojifosi kwa jamaa...jamaa akamkubalia ila akasema ni kumtumia na kumdamp.
Baada ya miezi 6 jana jamaa amefumwa na bidada yuko na mwanamke mwengine...ugomvi mkali jamaa akapenya akaenda kuandika ile ile status yake.
Asubuhi hapa alikuwa anasoma matusi mfululizo kutoka kwa wanawake zake wawili...anakula matusi na maneno makali huku na huku.
Hapa pia jamaa hajui atafanywaje na supervisor wake akirudi kazini
■Sometimes sio option nzuri kumrudia mtu uliem ignore.
■All the time sio vyema kutumia kauli ngumu kwa mtu usiemtaka kwa huo muda, huwezi jua huko mbeleni.
■Visasi vipo kwenye mahusiano na anaechagua aina ya kisasi ni mwenye kulipiza.
Wanawake tunawapenda
hivo hivo japo mnatupasuaga vichwa.

...Jamaa akaona sasa zamu ya bibie kuona cha moto.