Naomba mie Leo nipate wakuchepuka naye

Google Diggers

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
940
1,123
Ni mume Nina Mke na Watoto.

Natafuta MTU wa kuchepuka naye weekend tu. Na siku Moja ya kazi.

Awe dini yoyote, taifa lolote, rangi na Umri usizidi miaka 30. Asiwe mlevi wa kupindukia, awe anakunywa bia kias (chupa 2) tatu ndio mwisho na kweli akipiga 3 awe amelewa kwel, sio anakunywa bia 10. Huyo simuwezi. Mimi sinywi Sana. Sasa sitaki kurumbembe limeshindikana huko.

Awe akinywa pombe zishuke chini. Maana hapo ndio Raha ilipo. Nataka tuwe tunatoka na kupata stress-free time.

Asiwe na mume au mchumba wa MTU, maana sitaweza kupakwa mafuta mie na hakika Dunia nzima itajua kakija kajitu eti unatembea na mke wa MTU. Yaani sintakubali kugongwa Itakuwa vita kuu
 
Ni mume Nina Mke na Watoto.

Natafuta MTU wa kuchepuka naye weekend tu. Na siku Moja ya kazi.

Awe dini yoyote, taifa lolote, rangi na Umri usizidi miaka 30. Asiwe mlevi wa kupindukia, awe anakunywa bia kias (chupa 2) tatu ndio mwisho na kweli akipiga 3 awe amelewa kwel, sio anakunywa bia 10. Huyo simuwezi. Mimi sinywi Sana. Sasa sitaki kurumbembe limeshindikana huko.

Awe akinywa pombe zishuke chini. Maana hapo ndio Raha ilipo. Nataka tuwe tunatoka na kupata stress-free time.

Asiwe na mume au mchumba wa MTU, maana sitaweza kupakwa mafuta mie na hakika Dunia nzima itajua kakija kajitu eti unatembea na mke wa MTU. Yaani sintajubali. Itakuwa vita kuu
Duh
 
Kwa hili hapana aisee heri upakwe mafuta tu mkuu na ushughulikiwe kweli kweli...
 
Mzee huyo utakae mpata ni dada, mama mzazi, shangazi ,mama mdogo au bibi wa mtu fulani,Je ungependa watu hao kwa upande wako yan mama ako mzazi awe ni kiburudisho cha mtu fulani asie kuwa baba ako? Zinaa ni deni dhibiti matamanio yako umma utasalimika.
 
Msitutishe
 
Back
Top Bottom