Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sifa moja ya mwanamke ni kujua kupika Kuna hii story ya Manka aliolewa na jamaa wa pwani akaachiwa mazagazaga na mumewe akaabiwa apike wali nazi. Alichofanya anakijua mwenyewe, nazi ikawekwa...
1 Reactions
5 Replies
925 Views
Mwenzenu nimepata mtoto mmoja hivi mkali ni mcheza komedi mtoto nipo naye kwenye mahusiano sasa hivi tuna kipindi cha mwezi Mbususu na chukuwa saana. Lakini hatuchokani. Najaribu kuleta za kuleta...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Na-Paste Text yake... Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu. Mimi ni msichana na Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa. Nilifahamiana naye nikiwa form six na kuanzia wakati huo...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari! Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo, 1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50. 2. Awe mkristo 3...
18 Reactions
230 Replies
17K Views
Mimi nipo dar natafuta mchumba yaani rafiki wakike awe mkorea au mzungu ila awe na pesa sitaki wazungu wa kariakoo please na awe tayari kuolewa welcome pm
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Mimi ni Mwanamke Muumini wa Dini ya Kiislam (ISLAM-UNYEYEKEVU-MUISLAM) ni muajiriwa umri wangu miaka 30, sijawahi kuolewa na sina mtoto. Nahitaji...
14 Reactions
58 Replies
8K Views
Miezi minne ya mwanzo tokea huyu housegirl ameletwa rasmi nilikuwa nikiishi nyumbani, nimeishi nae nyumba moja kuanzia mwaka jana November hadi February baada ya hapo nikaanza maisha ya gheto...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama? Eneo linaloongoza kwa vitimbi na...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Hili janga linazidi kuwa kubwa sana, hii ishu bado sijajua ni kipi hasa kinapelekea itokee. Huenda ni kuiga ama tamaa za hapa na pale. Hapa nazungumzia vile vi binti vidogo vidogo. Mtaani...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
tujitahidi tusome hii wale vijana wakiume
1 Reactions
10 Replies
931 Views
>UPDATES: Imeendelea kwenye reply #36 Kwanza kabisa nianze kwa kuwasalimu wale wote mliosoma katika shule za boarding kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ama kweli, tuliupiga...
7 Reactions
54 Replies
11K Views
Habari za muda. Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda. Back to the Topic. Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu...
26 Reactions
79 Replies
10K Views
Wakuu, I'm hope you're fine, Huyu mwanadada ni pacha! Lakini wao ni mapacha wa kike wasiofanana sura! Ila huyu kanivutia kuliko kawaida! Nahisi kafahamu muda kuwa nimezimika kwake, kwa sababu...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
RIWAYA: Sitaisahau facebook MTUNZI: Emmy John P SEHEMU YA KWANZA "Isabela….Isabela…" nilisikia sauti ya mwanamke ikiniita, niligeuka mara moja maana sauti ile ni kama niliwahi...
14 Reactions
436 Replies
197K Views
Mazingira yapi yaliwakutanisha wewe na huyo mke&mume,mpenzi,mchumba, wako au mlikutana nae vipi na kuanzisha mapenzi yenu?? Watu wengi tumekalili kuwa mke&mume bora hupatikana katika nyumba za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
28 Reactions
133 Replies
10K Views
Kama miezi miwili nyuma niliamua kisirisiri kuingia kwenye secta hii ya ufbi kuchunguza mwenendo wa bi wife na watu wengine huko nje. nikajipa zoezi la kuvumilia lolote litakalo tokea...
56 Reactions
160 Replies
18K Views
Habari za weekend wadau, Kwa wale ndugu zangu waislamu eid njema ambao mmetangulia kula Eid leo na wanaotarajia kula eid kesho basi sisi tunasema mwenyezi mungu na mtume wake ndo wanajua zaidi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mosi,baba mtoto ni mtata muda wote anaweza kukataa mtoto kuwa si wake, hapa Mungu uamua kumaliza utata, angalia mimba zote zilizokataliwa watoto hufanana na baba zao. Pili, mama ni mtata, yaani...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Salam! hapa jamvini tumekuwa tunapeana matukio yetu ya kila siku, mapenzi mahusiano, matatizo nk. . . leo nimeamka na hilinla kuwapa moyo wapambanaji wanaoelekea kukata tamaa na maisha haya, kuwa...
4 Reactions
4 Replies
946 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…