Je wewe na mke&mume, mchumba, mpenzi mlikutana sehemu gani?

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,794
15,763
Mazingira yapi yaliwakutanisha wewe na huyo mke&mume,mpenzi,mchumba, wako au mlikutana nae vipi na kuanzisha mapenzi yenu??

Watu wengi tumekalili kuwa mke&mume bora hupatikana katika nyumba za ibada pekee na sehemu za kistaarabu bila kukumbuka kuwa mwenyezi mungu..

Anaweza kukuletea mwenza wako wa maisha yako popote pale iwe. bar,barabarani,club hata mitandaoni na kwingineko kama akiamua.Naamini kila mmoja wetu humu alie oa/kuolewa alie na mpenzi/mchumba Ana chakuelezea katika..
Ndoa/mahusiano yao jinsi walivyokutana.
 
Mazingira yapi yaliwakutanisha wewe na huyo mke&mume,mpenzi,mchumba, wako au mlikutana nae vipi na kuanzisha mapenzi yenu??

Watu wengi tumekalili kuwa mke&mume bora hupatikana katika nyumba za ibada pekee na sehemu za kistaarabu bila kukumbuka kuwa mwenyezi mungu anaweza kukuletea mwenza wako wa maisha popote pale iwe. bar,barabarani,club hata mitandaoni na kwingineko kama akiamua..
Tumekalili _ Tumekariri
R & L ni tatizo kijana
 
Mazingira yapi yaliwakutanisha wewe na huyo mke&mume,mpenzi,mchumba, wako au mlikutana nae vipi na kuanzisha mapenzi yenu??

Watu wengi tumekalili kuwa mke&mume bora hupatikana katika nyumba za ibada pekee na sehemu za kistaarabu bila kukumbuka kuwa mwenyezi mungu anaweza kukuletea mwenza wako wa maisha popote pale iwe. bar,barabarani,club hata mitandaoni na kwingineko kama akiamua..
Kilabu cha pombe
 
Kidimbwi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umenikumbusha mbali...

Nilikuwa naenda dukani, nikiwa barabarani shemeji yenu akiwa kwenye...akaniona...

Itaendelea...episode 3 tu

Back
Top Bottom